Manji anaidai Yanga Bil 11. Nchunga alipiga Kambi Brazil na Yanga mwez na akaondoka ameacha Mil 400

Hivi wewe Nchunga angeacha hiyo pesa angeangaika timu kuiweka bond morogoro! Au wewe MTU wa majungu!
 
Wewe unampigia Mbuzi Gita!!!
Badala Ya Kuja Na Hoja, Unakuja na Maswali!!! Haya Tuone Kama unatetea au unakosoa.......!
Hayo Maswali Yako Yote uliyotohoa ni sawa na Value of X unknown....
Sasa wewe ndio umeleta hoja ?

Nyie wamchangani mna matatizo kweli,hebu tuambie Nchunga aliipeleka Yanga Brazil mwaka gani
 
Hivi hayo masufuria yapo tu huko jangwani au hata kwenye eneo oevu yapo?
 
Sasa wewe ndio umeleta hoja ?

Nyie wamchangani mna matatizo kweli,hebu tuambie Nchunga aliipeleka Yanga Brazil mwaka gani

Nyinyi hebu Tumieni Akili Musihadaliwe Na Utapeli Wa Manji!!!!
Nchunga Alikuwa Muwazi Wa Anachikifanya tofauti na Manji...

Manji Anapokuwa Kwenye Mikutano na Vikao Vya Timu Anajitangaza Kuwa Yeye ni Mfadhili Anaisaidia Yanga...
Lakini Anapokuwa Kwenye Utendaji Basi Kila Anachokitoa Anakiandika Kuwa Deni Hilo Anaikopesha Timu...

Kwahiyo Kwenye Fomu ni Deni!!! Lakini Kwenye Mkutano Anatangaza Kaisaidia Timu. Hivyo Ndiyo Alivozipata Hizo bilioni 11 anazowadai....


Hivi wewe Nchunga angeacha hiyo pesa angeangaika timu kuiweka bond morogoro! Au wewe MTU wa majungu!
 
Si kuwa hakuna mtu (mweusi) mwenye uwezo wa kiuongozi wa vilabu hivi ila tatizo ni kuwa Mdosi huyu hataki mbantu kujifanya anamaarifa zaidi yake ndo maana ndugu Tiboroa kamuondoa na mikataba kama ya TBL haifutilia mbali.
 
Yanga ukiwakopesha pesa kama hakuna kipengele Cha kuwashitaki FIFA hawawez kulipa Hilo deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…