Manji anaidai Yanga Bil 11. Nchunga alipiga Kambi Brazil na Yanga mwez na akaondoka ameacha Mil 400

Manji anaidai Yanga Bil 11. Nchunga alipiga Kambi Brazil na Yanga mwez na akaondoka ameacha Mil 400

Udhamini wa manji yanga unaleta maswal mengi sana. Na maswal yanakuja zaidi kwa kuwa wote wamekataa kufikiri wamemwachia manji na akilimali tu.

Manji yeye ni kila kitu. Kwa lolote analotaka linakuwa.akisema flan asiwe mwanachama ghafla mtu huyo anapoteza uanachama. Manji anapofika kwenye kikao anafika na kutangaza anachotaka akimaliza anaondoka wanachama wanapiga makofi na kumfata nyuma nyuma kama nzi wafuatavyo mtu aliyebeba utumbo.

Manji ni mwenyekiti,mdhamini,msemaji wa klabu,mweka hazina,mkodishaji na vyeo vyote. Unaweza taja kuwa mbona cheo flan yupo flan... Wale ni watu ambao wapo tu kama bendera kufuata upepo. Si kitu kabisa.

Ni manji huyu anayesema anaidai yanga nil 11 .za kutoka wapi?kwa makubaliano gani?

Lloyd Nchunga aliwah kuiongoza yanga kisomi sana miaka hiyo hata udhamini ulikuwa mdogo.akaipeleka brazil ikakaa mwez huko. Na alipoondoka yanga aliacha mil 400.

Manji anaidai yanga bil 11 nani anajua zimetumikaje? Hakuna aliye na uwezo wa kuhoji zaid ya mzee akilimali katika suala la kukodisha timu kwake.tunaweza kuwa maskin wa kipato chonde chonde tusiwe maskini wa akili.
Hivi wewe Nchunga angeacha hiyo pesa angeangaika timu kuiweka bond morogoro! Au wewe MTU wa majungu!
 
Wewe unampigia Mbuzi Gita!!!
Badala Ya Kuja Na Hoja, Unakuja na Maswali!!! Haya Tuone Kama unatetea au unakosoa.......!
Hayo Maswali Yako Yote uliyotohoa ni sawa na Value of X unknown....
Sasa wewe ndio umeleta hoja ?

Nyie wamchangani mna matatizo kweli,hebu tuambie Nchunga aliipeleka Yanga Brazil mwaka gani
 
Hivi hayo masufuria yapo tu huko jangwani au hata kwenye eneo oevu yapo?
 
Sasa wewe ndio umeleta hoja ?

Nyie wamchangani mna matatizo kweli,hebu tuambie Nchunga aliipeleka Yanga Brazil mwaka gani

Nyinyi hebu Tumieni Akili Musihadaliwe Na Utapeli Wa Manji!!!!
Nchunga Alikuwa Muwazi Wa Anachikifanya tofauti na Manji...

Manji Anapokuwa Kwenye Mikutano na Vikao Vya Timu Anajitangaza Kuwa Yeye ni Mfadhili Anaisaidia Yanga...
Lakini Anapokuwa Kwenye Utendaji Basi Kila Anachokitoa Anakiandika Kuwa Deni Hilo Anaikopesha Timu...

Kwahiyo Kwenye Fomu ni Deni!!! Lakini Kwenye Mkutano Anatangaza Kaisaidia Timu. Hivyo Ndiyo Alivozipata Hizo bilioni 11 anazowadai....


Hivi wewe Nchunga angeacha hiyo pesa angeangaika timu kuiweka bond morogoro! Au wewe MTU wa majungu!
 
Akuwekee investment ili timu ikianza kujiendesha yenyewe mumfukuze? Timu ingekua inaweza kusimama yenyewe sasa hivi wanachama wengi wangekua upande mzee akilimali. Usione wanachama sasa hivi wanataka akodishwe timu ukadhani wana imani na yeye, hawana imani nae kabisa ila walio wengi hawana jinsi wanajua kua akiondoka hata mishahara ya wachezaji itakua shida kupatikana. Wale wote wanaopiga kelele linapokuja suala la kutoa fungu la kuendesha timu midomo inakua na ukakasi na ndipo alipowapatia.
Si kuwa hakuna mtu (mweusi) mwenye uwezo wa kiuongozi wa vilabu hivi ila tatizo ni kuwa Mdosi huyu hataki mbantu kujifanya anamaarifa zaidi yake ndo maana ndugu Tiboroa kamuondoa na mikataba kama ya TBL haifutilia mbali.
 
Yanga ukiwakopesha pesa kama hakuna kipengele Cha kuwashitaki FIFA hawawez kulipa Hilo deni
 
Back
Top Bottom