si ulisema anavuta madawa ya kulevya anakuonyesha kwamba nyie ni washamba mambumbu mulidhani mutaendesha uchumi kwa kukenua na kubweka bweka na kutema mipovu hovyo sana bashite na baba yako mulaaniwe na vizazi vyenu vyoteHawa ndio wawekezaji wanaohitajika awamu ya tano hawakwepi na hawaogopi kulipa kodi
Wala sijasema ni kosa mkuu......mie nafurahia tu maana kwangu ni habari njema ajira nitapata pale🙂😉Kwani Kuna kosa gani akinunua nakumat?
Ova
Una uhakika ni mkwepa kodi? Ume prove rafiki? Acha unafiki wa kufuata upepo haukusaidii.Sio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Twende baba Mangi ,kidume asiyeogopa upara,,,,,Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.
Taarifa Zaidi Kufuata
Hivi zile trillion 400 za kodi za accasia vipi naona mkuu anagonga glass na wakwepa kodiSio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Nilitegemea kiona serikali ikiwasaidia wakulima wa mbaazi lkn naona wao wako bize na makinikiaMh manji njoo huku mtwara ununue mbaazi sie wakulima tunateseka na bei ya tsh 150/= kwa kilo
Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.
Taarifa Zaidi Kufuata
Hii ni taarifa mbaya kwa MaliyaMungu.Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.
Taarifa Zaidi Kufuata
ndio anavuta na alipe kodisi ulisema anavuta madawa ya kulevya anakuonyesha kwamba nyie ni washamba mambumbu mulidhani mutaendesha uchumi kwa kukenua na kubweka bweka na kutema mipovu hovyo sana bashite na baba yako mulaaniwe na vizazi vyenu vyote
bashitee bwana kwani siku zote alikuwa halipi kodi mbona ulimtaja kuwa anavuta madawa ya kulvya na hamjawahi kumshitaki kama halipi kodi mbona unabadilisha mada baada yakuwakaza ukutani mzee sema tu poo Manji na umrudishie lile range rover lake umedhulumu unaweka plate yako mzee kabla halijakulipukia ukabaki majivu mzeendio anavuta na alipe kodi
Pesa anayoidai serikali ni Mara 20 ..mlipeni asepeSio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Wazee wa kupokea kodi tu kwann msinunue hyo nakumat!au bado hamuwezi kuendesha mambondio anavuta na alipe kodi
Zaidi ya MKWEPA KODI vile vile ni FisadiKuu na mtoa rushwa alifikiri Magufuli ananunulikaUna uhakika ni mkwepa kodi? Ume prove rafiki? Acha unafiki wa kufuata upepo haukusaidii.
Mwanzo uliaminishwa anatumia dawa za kulevya ukatoka povu mno kumsiliba, ukaambiwa ni muahini anamiliki sare za Jeshi na mihuri ukaweweseka kupiga zumari yako wapi yote hayo?
Kuna kipindi kama binadamu unatakiwa ujitambue mkuu utumie hata robo ya akili yako kuchambua ndio uongee, acha kupelekeshwa namna hii Mjomba.
Unaandika kabisa kwa herufi Kubwa MKWEPA KODI, hivi wakwepa kodi huwa wanatamkwa tu alafu wanaachwa? Mahakamani imetamka hivyo tayari?
Mkuu hata kama tuko nyuma ya keyboards hebu tujitambue asee
Hilo Jila la mkwepa kodi unjue tuko nalo hukuSio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga