Manji kuinunua Nakumatt

Manji kuinunua Nakumatt

Sio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
Una uhakika ni mkwepa kodi? Ume prove rafiki? Acha unafiki wa kufuata upepo haukusaidii.

Mwanzo uliaminishwa anatumia dawa za kulevya ukatoka povu mno kumsiliba, ukaambiwa ni muahini anamiliki sare za Jeshi na mihuri ukaweweseka kupiga zumari yako wapi yote hayo?

Kuna kipindi kama binadamu unatakiwa ujitambue mkuu utumie hata robo ya akili yako kuchambua ndio uongee, acha kupelekeshwa namna hii Mjomba.

Unaandika kabisa kwa herufi Kubwa MKWEPA KODI, hivi wakwepa kodi huwa wanatamkwa tu alafu wanaachwa? Mahakamani imetamka hivyo tayari?

Mkuu hata kama tuko nyuma ya keyboards hebu tujitambue asee
 
Manji jeuri, amefungiwa ofisi za Quality Center sasa leo kaitisha press anasema anainunua Nakumart Supermarket.

Taarifa Zaidi Kufuata

Uking'atwa na Mbwa Kichaa wa Kwanza halafu ukapata majeraha makubwa na ukajitibia kwa taabu sana mpaka ukapona unatakiwa safari hii uwe na makini na aina ile ile ya Mbwa Vichaa kwani huenda wakikubahatisha tena safari hii wakikung'ata hutaishia tu kujeruhiwa bali huenda hata ukapoteza maisha / ukafa kabisa.
 
si ulisema anavuta madawa ya kulevya anakuonyesha kwamba nyie ni washamba mambumbu mulidhani mutaendesha uchumi kwa kukenua na kubweka bweka na kutema mipovu hovyo sana bashite na baba yako mulaaniwe na vizazi vyenu vyote
ndio anavuta na alipe kodi
 
ndio anavuta na alipe kodi
bashitee bwana kwani siku zote alikuwa halipi kodi mbona ulimtaja kuwa anavuta madawa ya kulvya na hamjawahi kumshitaki kama halipi kodi mbona unabadilisha mada baada yakuwakaza ukutani mzee sema tu poo Manji na umrudishie lile range rover lake umedhulumu unaweka plate yako mzee kabla halijakulipukia ukabaki majivu mzee
 
Huyu kabachori naona hamjui mheshimiwa nakwambia jamaa hapendi majigambo kabisa!!
 
Una uhakika ni mkwepa kodi? Ume prove rafiki? Acha unafiki wa kufuata upepo haukusaidii.

Mwanzo uliaminishwa anatumia dawa za kulevya ukatoka povu mno kumsiliba, ukaambiwa ni muahini anamiliki sare za Jeshi na mihuri ukaweweseka kupiga zumari yako wapi yote hayo?

Kuna kipindi kama binadamu unatakiwa ujitambue mkuu utumie hata robo ya akili yako kuchambua ndio uongee, acha kupelekeshwa namna hii Mjomba.

Unaandika kabisa kwa herufi Kubwa MKWEPA KODI, hivi wakwepa kodi huwa wanatamkwa tu alafu wanaachwa? Mahakamani imetamka hivyo tayari?

Mkuu hata kama tuko nyuma ya keyboards hebu tujitambue asee
Zaidi ya MKWEPA KODI vile vile ni FisadiKuu na mtoa rushwa alifikiri Magufuli ananunulika
IMG_20171024_132901.JPG

Chadema jumba la mafisadi lazima apate wa kutetea
 
Nunua tu uingize ela. walikuburura sana kipindi kile
 
Back
Top Bottom