Una uhakika ni mkwepa kodi? Ume prove rafiki? Acha unafiki wa kufuata upepo haukusaidii.
Mwanzo uliaminishwa anatumia dawa za kulevya ukatoka povu mno kumsiliba, ukaambiwa ni muahini anamiliki sare za Jeshi na mihuri ukaweweseka kupiga zumari yako wapi yote hayo?
Kuna kipindi kama binadamu unatakiwa ujitambue mkuu utumie hata robo ya akili yako kuchambua ndio uongee, acha kupelekeshwa namna hii Mjomba.
Unaandika kabisa kwa herufi Kubwa MKWEPA KODI, hivi wakwepa kodi huwa wanatamkwa tu alafu wanaachwa? Mahakamani imetamka hivyo tayari?
Mkuu hata kama tuko nyuma ya keyboards hebu tujitambue asee