Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Mkuu, salama lakini...watu pia watofautishe passport na uraia.
..passport ni hati ya usafiri tu, ambayo hutolewa na serikali husika.
..kuwa na passport ya nchi fulani haimaanishi mhusika ni raia wa nchi uliyotoa passport.
..kuna watu wengi wamewahi kusafiri na passport za Tanzania wakati wao si raia wa Tanzania.
..kwa mfano, kuna kipindi Nelson Mandela, Thabo Mbeki, Yoweri Museveni, Raila Odinga, na wengine, walitumia passport za Tanzania kusafiri kwenda nchi mbalimbali.
..Passport sio Uraia.
Ila hao wazee Hayati Mwalimu aliidhinisha wapewe diplomatic passport za dharura ndo wakawa wazitumia.
Hizo zaweza kurudishwa wakati wowote.
Hati za dharura uhamiaji wanazo.
Nchi karibu zote duniani wanazo.