Soma hiii... Tembelea hapa...
JIACHIE
Ebwana ee habari njema kwa wadau wa Clouds Entertaiment a.k.a Clouds Media Group hapo awali vijana wake (wafanyakazi wake) walipachikwa jina la Watoto wa Maghorofani kama ilivyozoeleka hapo awali,kwa sababu ofisi zao zilikuwa ndani ya jengo la NIC a.k.a Kitega uchumi lililopo mtaa wa samora,Lakini kwa sasa vijana hao wote wanatarajia kutinga kwenye
jengo lao rasmi [/B](pichani) kuanzia juni 1 na wataanza kurusha matangazo yao moja kwa moja kutoka mjengoni hapo.
Naamini hapa napo jina litabadilika na wengi watapaita Clouds Mjengoni au Mjengoni Clouds.Jiografia ya Clouds Mjengoni wala si ya kutatanisha sana kiukweli,mfano ukitokea moroco-mikocheni shuka kituo cha njia panda Cokacola-Kawe,ukiwa Mwenge Chukua bajaji /tax pale waambie nipeleke