Manji ni mmiliki wa Jengo jipya la Clouds Entertaiment?

Manji ni mmiliki wa Jengo jipya la Clouds Entertaiment?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Inadaiwa Mmiliki wa jengo jipya la Clouds Entertainment (Pichani) ni Yusuph Manji... Swali ni je ana hisa Clouds au? Wadau tujuzeni...
 
anamiliki pia jengo la quality plaza nyerere road kuna ofisi za precision air na crdb ana hisa huko pia?ukitujibu nitakutajia majengo yake mengine na makampuni yaliyopanga humo.
 
Soma hiii... Tembelea hapa... JIACHIE

Ebwana ee habari njema kwa wadau wa Clouds Entertaiment a.k.a Clouds Media Group hapo awali vijana wake (wafanyakazi wake) walipachikwa jina la Watoto wa Maghorofani kama ilivyozoeleka hapo awali,kwa sababu ofisi zao zilikuwa ndani ya jengo la NIC a.k.a Kitega uchumi lililopo mtaa wa samora,Lakini kwa sasa vijana hao wote wanatarajia kutinga kwenye jengo lao rasmi (pichani) kuanzia juni 1 na wataanza kurusha matangazo yao moja kwa moja kutoka mjengoni hapo.

Naamini hapa napo jina litabadilika na wengi watapaita Clouds Mjengoni au Mjengoni Clouds.Jiografia ya Clouds Mjengoni wala si ya kutatanisha sana kiukweli,mfano ukitokea moroco-mikocheni shuka kituo cha njia panda Cokacola-Kawe,ukiwa Mwenge Chukua bajaji /tax pale waambie nipeleke
 
Soma hiii... Tembelea hapa... JIACHIE

Ebwana ee habari njema kwa wadau wa Clouds Entertaiment a.k.a Clouds Media Group hapo awali vijana wake (wafanyakazi wake) walipachikwa jina la Watoto wa Maghorofani kama ilivyozoeleka hapo awali,kwa sababu ofisi zao zilikuwa ndani ya jengo la NIC a.k.a Kitega uchumi lililopo mtaa wa samora,Lakini kwa sasa vijana hao wote wanatarajia kutinga kwenye jengo lao rasmi [/B](pichani) kuanzia juni 1 na wataanza kurusha matangazo yao moja kwa moja kutoka mjengoni hapo.
Naamini hapa napo jina litabadilika na wengi watapaita Clouds Mjengoni au Mjengoni Clouds.Jiografia ya Clouds Mjengoni wala si ya kutatanisha sana kiukweli,mfano ukitokea moroco-mikocheni shuka kituo cha njia panda Cokacola-Kawe,ukiwa Mwenge Chukua bajaji /tax pale waambie nipeleke

Yoote hayo tunajua unaleta utoto. Hoja hujaielewa?
 
anamiliki pia jengo la quality plaza nyerere road kuna ofisi za precision air na crdb ana hisa huko pia?ukitujibu nitakutajia majengo yake mengine na makampuni yaliyopanga humo.

Mkuu Burn, unajua aliyekuwa mmiliki wa Quality Plaza kabla ya Manji? Unajua pia ujenzi wake ulisimamiwa na nani! Hii nayo ni issue.
 
Mkuu Burn, unajua aliyekuwa mmiliki wa Quality Plaza kabla ya Manji? Unajua pia ujenzi wake ulisimamiwa na nani! Hii nayo ni issue.

Najua hata utata wa mkopo wa fedha za kuendeleza huo mradi wa quality plaza, ila ninacho sisitiza tusije kuwahukumu wapangaji kwa uchawi wa mwenye nyumba.
 
Labda ingekuwa vizuri ukatueleza kile hasa unachokiwaza kwani sidhani kama kuna ubaya wa Clouds kutumia jengo hilo huenda wamekodisha au wamefadhiliwa au kuna ubaya?
 
Wakuu hii ni tetesi ngoja iendelee kuwa tetesi hivyo hivyo.
 
Unajua kila ofisi nayopanga mjini kama si ya jengo lako basi takuwa umekodi. Hata nyumba unayoishi kama hujajenga basi itakuwa ya urithi au ya kupanga!!! Kwa mantiki hiyo, kama Manji amejenga kitega uchumi kwa ajili ya ofisi kila mtu ana uhuru kukodi its part or whole!!! Pengine mleta hoja anataka kutuambia labda Manji anataka kuitumia clouds kwa manufaa ya mafisadi maana 2010 yaja?? Pengine hapo basi ni mhhhhhhhh makubwa hayo.

Basi kainzi basi katembee kachunguze plot number tujue ni ya nani (hati) na building permit under which name (including site map). Then mkisha post hapa we dare talking openly basi tunaweza sema vingnevyo. Hatuna facts hapa!!!
 
Tusker ya Moto,

Jengo hilo SIO la "CLOUDS_ya_DJ_KUSAGA" bali "CLOUDS_ya_DJ_KUSAGA" ni WAPANGAJI... PERIOD
 
Mimi bado sijaona tatizo hapo pengine ubongo wangu ni so dumb kiasi hicho but what's wrong na Manji kumiliki jengo hilo? kwangu haimaanishi ndio kaichukua Clouds iwe mali yake unless aofficiate hilo ili tuwe na base tutakapokuwa tunasikiliza radio hii critically.
 
Inadaiwa Mmiliki wa jengo jipya la Clouds Entertainment (Pichani) ni Yusuph Manji... Swali ni je ana hisa Clouds au? Wadau tujuzeni...

Isijekuwa ni move kama iliyofanyika kwa Habari Corporation na ze komedi wajameni! maanake tetesi za Manji kununua hisa za clouds fm zipo! isijekuwa ni mojawapo ya goals za kifisadi!mh, time will tell! tbc imeshathibitiwa, clouds nayo kama mmiliki akiwa Manji watakuwa tena na sauti???.ni mtizamo tu mjomba,nisihukumiwe kama mzee watusker baridiiiiiiii
 
nadhani kwa jinsi nilivyomuelewa mtoa mada anataka kutuhabarisha kwamba,hilo jengo jipya sio la clouds fm kama ambavyo wenyewe wanavyotangaza kuwa wanaamia kwenye ''jengo lao'...kwa maana nyingine ni kwamba clouds wanaendelea kuwa ni wapangaji tu kama walivyokuwa pale jengo la kitega uchumi
 
mbonaaaaaaaaaa ndie mmiliki wa lile jengo la ZAIN ....Pale MOROCO...PEMBENI YA TRAFFIC LIGHT UKIWA UNAELEKEA MJINI...........NAHISI ANA 50%
 
no research no right to speak,hebu tuchunguze kwanza halafu tukipata uhakika tulijadili.
nawasilisha hoja,
 
Back
Top Bottom