Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Inadaiwa Mmiliki wa jengo jipya la Clouds Entertainment (Pichani) ni Yusuph Manji... Swali ni je ana hisa Clouds au? Wadau tujuzeni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hiii... Tembelea hapa... JIACHIE
Ebwana ee habari njema kwa wadau wa Clouds Entertaiment a.k.a Clouds Media Group hapo awali vijana wake (wafanyakazi wake) walipachikwa jina la Watoto wa Maghorofani kama ilivyozoeleka hapo awali,kwa sababu ofisi zao zilikuwa ndani ya jengo la NIC a.k.a Kitega uchumi lililopo mtaa wa samora,Lakini kwa sasa vijana hao wote wanatarajia kutinga kwenye jengo lao rasmi [/B](pichani) kuanzia juni 1 na wataanza kurusha matangazo yao moja kwa moja kutoka mjengoni hapo.
Naamini hapa napo jina litabadilika na wengi watapaita Clouds Mjengoni au Mjengoni Clouds.Jiografia ya Clouds Mjengoni wala si ya kutatanisha sana kiukweli,mfano ukitokea moroco-mikocheni shuka kituo cha njia panda Cokacola-Kawe,ukiwa Mwenge Chukua bajaji /tax pale waambie nipeleke
anamiliki pia jengo la quality plaza nyerere road kuna ofisi za precision air na crdb ana hisa huko pia?ukitujibu nitakutajia majengo yake mengine na makampuni yaliyopanga humo.
Mkuu Burn, unajua aliyekuwa mmiliki wa Quality Plaza kabla ya Manji? Unajua pia ujenzi wake ulisimamiwa na nani! Hii nayo ni issue.
samahani sioni tatizo...Inadaiwa Mmiliki wa jengo jipya la Clouds Entertainment (Pichani) ni Yusuph Manji... Swali ni je ana hisa Clouds au? Wadau tujuzeni...
Tusker ya Moto,
Jengo hilo SIO la "CLOUDS_ya_DJ_KUSAGA" bali "CLOUDS_ya_DJ_KUSAGA" ni WAPANGAJI... PERIOD
Inadaiwa Mmiliki wa jengo jipya la Clouds Entertainment (Pichani) ni Yusuph Manji... Swali ni je ana hisa Clouds au? Wadau tujuzeni...