Manji: TFF na BMT wanafanya njama jina langu likatwe ili nisigombee Yanga, nina ushahidi wa sauti

Manji abaki Yanga simba nao wampe MO na huku Azam ili mtajiri washindane huku wanachama, wapenzi na mashabiki tukipata raha huku tukipigana vijembe vya hapa na pale.
 
Manji abaki Yanga simba nao wampe MO na huku Azam ili mtajiri washindane huku wanachama, wapenzi na mashabiki tukipata raha huku tukipigana vijembe vya hapa na pale.
...... Na huku maisha yakisonga maana hakuna namna sasa.
 
yanga ni taasisi kubwa ukicheza nayo unaenda na maji, hao tff walioshiriki mpango huo ovu wajiandae
 
Mi nimepapenda hapo tu...Manji anakataa mikataba ya kinyonyaji...kwi kwi kwi
 
Mimi napenda sana simba hila kwa hili TFF wanataka yanga kuingia kwenye migogoro halafu sura za waliochukua fomu wote hali wanataka kupiga hela...

Naomba kujua mgogoro uliopo ni kati ya makundi ndani ya Yanga au kati ya Yanga na TFF/BMT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…