Syi
Member
- Jan 19, 2016
- 23
- 7
Unaushahidi wa dhamira yake hiyo?Manji watu hawamfaham. Manji ni mfanyabiashara anayefanya kila jambo kwa hesab si kweli kuwa ana mapenz sana na yanga.tangu amekuwa mwenyekiti yanga ameifanyia nini ambacho ni assets?najua watu wenye upeo mdogo watasema ameleta wachezaj n.k akiondoka yanga inabaki vipi?manji kaiweka yanga kwenye hali ya kumhitaji na kumwabudu kila wakati.manji hataki kuwafundisha yanga kuvua samaki.anataka aendelee kuwapa samaki ili kila wapatapo njaa warud kumlamba miguu. Tunajua aligombea udiwani ili aje kupata umeya na hapo ajiuzie viwanja na maeneo mengi hapa dar. Na amekuwa akiitumia yanga kisiasa kwa manufaa yake zaidi.