Manji: Tiboroha alificha barua za Niyonzima

Manji watu hawamfaham. Manji ni mfanyabiashara anayefanya kila jambo kwa hesab si kweli kuwa ana mapenz sana na yanga.tangu amekuwa mwenyekiti yanga ameifanyia nini ambacho ni assets?najua watu wenye upeo mdogo watasema ameleta wachezaj n.k akiondoka yanga inabaki vipi?manji kaiweka yanga kwenye hali ya kumhitaji na kumwabudu kila wakati.manji hataki kuwafundisha yanga kuvua samaki.anataka aendelee kuwapa samaki ili kila wapatapo njaa warud kumlamba miguu. Tunajua aligombea udiwani ili aje kupata umeya na hapo ajiuzie viwanja na maeneo mengi hapa dar. Na amekuwa akiitumia yanga kisiasa kwa manufaa yake zaidi.
Unaushahidi wa dhamira yake hiyo?
 
... Baada ya kuupitia uamuzi wa Kamati ya Nidhamu kuamua sababu kuvunja mkataba kati ya klabu Yanga na mchezaji Haruna Niyonzima, nilihisi kulikuwa kuna kasoro...
... Niliamua uchunguzi wa ndani ufanyike katika suala hilo zima na mwisho,
... husiana na uchaguzi na maneno ya kinafiki ya nungunungu ya chinichini kuwa eti ninaogopa uchaguzi; huku wakiwa hawajui kuwa katika maisha yangu sijawahi kushindwa uchaguzi: Ukweli mimi ndiyo nimekuwa nikusukuma kuitishwa kwa uchaguzi uitishwe ili nistaafu kupitia nafasi yangu ya uenyekiti.
... Hitimisho, nimegundua potofu ya kufikiri Tiboroha ni Katibu Mkuu wa kuchaguliwa, ...
... mtu ambaye mimi nilipendekeza aajiriwe kama nililivyopendekeza kwa Mwalusako, Njovu, Mwesigwa, Maximo na wengine na nina mamlaka ya kuamua hatma ya mwajiriwa kulinda heshima na maslahi ya Klabu.
Kwa sababu mimi nimewekea dhamira ya uchaguzi ufanyike kwa haraka, ...
Nilichogundua hapa ni kwamba YM amezungumzia mambo mengi yanayoonyesha utendaji mwingi unategemea maamuzi ya kwake binafsi, wakati nilitegemea maamuzi mengi yafanywe na Kamati Tendaji. Nimebold na kuweka red font hapo kwenye quotation kuonyesha nafis ya kwanza umoja jinsi ilivyotawala katika taarifa hii ambayo ni ya klabu na hata mwishoni chini inaonyesha nafasi ya kusainiwa na Mwenyekiti wa Klabu (sio lazima awe YM). Hayo ya kimamlaka inawezekana katiba ya klabu inampa nguvu zote, lakini yale yasiyo ya kisheria kama kutowahi kushindwa uchaguzi sidhani kama yalitakiwa kuwemo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, angeweza kuyazungumza tu kama Jerry lakini sio kuyaandika
 
Nilichogundua hapa ni kwamba YM amezungumzia mambo mengi yanayoonyesha utendaji mwingi unategemea maamuzi ya kwake binafsi, wakati nilitegemea maamuzi mengi yafanywe na Kamati Tendaji. Nimebold na kuweka red font hapo kwenye quotation kuonyesha nafis ya kwanza umoja jinsi ilivyotawala katika taarifa hii ambayo ni ya klabu na hata mwishoni chini inaonyesha nafasi ya kusainiwa na Mwenyekiti wa Klabu (sio lazima awe YM). Hayo ya kimamlaka inawezekana katiba ya klabu inampa nguvu zote, lakini yale yasiyo ya kisheria kama kutowahi kushindwa uchaguzi sidhani kama yalitakiwa kuwemo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, angeweza kuyazungumza tu kama Jerry lakini sio kuyaandika
Manji watu hawamfaham. Manji ni mfanyabiashara anayefanya kila jambo kwa hesab si kweli kuwa ana mapenz sana na yanga.tangu amekuwa mwenyekiti yanga ameifanyia nini ambacho ni assets?najua watu wenye upeo mdogo watasema ameleta wachezaj n.k akiondoka yanga inabaki vipi?manji kaiweka yanga kwenye hali ya kumhitaji na kumwabudu kila wakati.manji hataki kuwafundisha yanga kuvua samaki.anataka aendelee kuwapa samaki ili kila wapatapo njaa warud kumlamba miguu. Tunajua aligombea udiwani ili aje kupata umeya na hapo ajiuzie viwanja na maeneo mengi hapa dar. Na amekuwa akiitumia yanga kisiasa kwa manufaa yake zaidi.
Umenena! Wabishi watakuponda.
 
..manji ndio roho ya kandambili,hata wenyewe wanajua hilo.Akiwaambia kamata chini,wanakamata,okota ile chupa pale katupe anaokota ht km ni kizee cha miaka 70.
Na ole wenu mumfukuze,hao kina ngoma,kamusoko sijui na nani wataondoka wote,halafu wanyama tutawatandika tena 5-0,mshike adabu zenu!
 
Mi naomba na yeye ajibu maana Watanzania kwa propaganda huwezi amini!
...mkuu,huwezi kuwa msomi halafu ukafanya kazi kwenye hivi vilabu viwili,hutaweza. Wakati wenzako wanapanga kupiga panga viingilio vya mlangoni,wewe unapanga kuongeza mapato ya klabu,lazima wakutafutie sababu tu,lazima uondoke tu.
Huyo Manji kinachomuweka hapo yanga ni hela zake,angekuwa mbabaishaji mwingine,washamtimua siku nyingi.
Mimi wala simsubiri Tiboroha ajibu,eti kwa nn alikua anaficha barua za Niyonzima?!ni kupoteza muda tu,this is all fake!
 
...mkuu,huwezi kuwa msomi halafu ukafanya kazi kwenye hivi vilabu viwili,hutaweza. Wakati wenzako wanapanga kupiga panga viingilio vya mlangoni,wewe unapanga kuongeza mapato ya klabu,lazima wakutafutie sababu tu,lazima uondoke tu.J
Huyo Manji kinachomuweka hapo yanga ni hela zake,angekuwa mbabaishaji mwingine,washamtimua siku nyingi.
Mimi wala simsubiri Tiboroha ajibu,eti kwa nn alikua anaficha barua za Niyonzima?!ni kupoteza muda tu,this is all fake!
Jamaa kumbe aliwapa waandishi wa habari HAMSINI ELFU kila mmoja nadhani ili wasimpige maswali.
 
Nilichogundua hapa ni kwamba YM amezungumzia mambo mengi yanayoonyesha utendaji mwingi unategemea maamuzi ya kwake binafsi, wakati nilitegemea maamuzi mengi yafanywe na Kamati Tendaji. Nimebold na kuweka red font hapo kwenye quotation kuonyesha nafis ya kwanza umoja jinsi ilivyotawala katika taarifa hii ambayo ni ya klabu na hata mwishoni chini inaonyesha nafasi ya kusainiwa na Mwenyekiti wa Klabu (sio lazima awe YM). Hayo ya kimamlaka inawezekana katiba ya klabu inampa nguvu zote, lakini yale yasiyo ya kisheria kama kutowahi kushindwa uchaguzi sidhani kama yalitakiwa kuwemo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, angeweza kuyazungumza tu kama Jerry lakini sio kuyaandika
Mdosi katika ubora wake. Ananufaika hapo hivo akiona pana mtu anataka kumzibia lazima aanze majungu ya kumtoa. Hapo hang'oki aslan!
 
Angalia sasa ujinga wa ndala, kwa hiyo kama ni simba kwa nini alisema klabu ya kumchukua itoe lile donge 'lisilowezekana'?? Akili za kuambiwa changanya na zako!
Endeleeni kulamba makalio ya huyo mdosi, akikohoa tu mnaugua, ndio maana mko bize kumuomba aendelee kuwa 'rais'!
Mtaendelea kuharisha sana wa mchangani nyie. Dau lilikuwa geresha kwa sababu Niyonzima alifuata hatua zote. Tatizo Tiboroha alificha nyaraka wee wa mchangani. Kwa sasa tunachunguza uraia wa Tibo kama kweli ni mwanajangwani
 
This is very low of you. Uwe unaweka upenzi pembeni unazungumza vitu baada ya kufanya critical thinking!!
Si ni wewe uliyekuwa ukidai Niyonzima huwa ni mtukutu na kwamba hafai afukuzwe mara moja. Hata tulipokutahadharisha uliendelea kukomaa. Leo unasema barua zilifichwa kwa sababu tu Manji kasema hivyo.........!!!!!

Hebu pitia comment zako kwenye mada ya Niyonzima kufukuzwa halafu rudi tena uchangie hapa
 
Mr critical thinker, kurejeshwa kwa Niyo hakuondoshi utukutu wake. Niyonzima ni mmojawapo wa wachezaji wasumbufu sana. Kamati ya maadili ilitoa maamuzi kutokana na maelezo ya uongo yaliyotolewa na katibu mkuu. Pamoja na ukorofi wake, this time Niyo aliamua kujihami kwa kutuma barua, good for him. Sasa basi, kufuatia tabia yake ya awali, ilikuwa rahisi kutoa adhabu kali.

Kwa tunaomfahamu Niyo wala hatukuona ajabu kufuatia kutimuliwa kwake. Ila kama this time alifuata hatua zote, haki yake apewe, mr critical thinker
 
There you go, tayari umesharukia kumhukumu katibu wako Tiboroha kuwa alitoa maelezo ya uongo!!
Unajua kinachokuponza wewe ni kuwa huwa unataka kuburuza watu kwa kutoa facts za kusikia na hisia badala ya kueleza tu kuwa ni mtazamo wako. Ulidai kipindi kile eti Watanzania wengi hawajui sheria, leo wewe mwenyewe unakuja na hukumu kwa Tiboroha baada ya kusikia maelezo ya upande mmoja (Manji)

Kama Tiboroha alitoa maelezo ya uongo kwa nini Niyonzima ameomba msahaha? Tuseme kwamba kamati ya maadili ilipewa maelezo ya uongo na Tiboroha, kama wewe na Manji mnavyosema, je walitoaje maamuzi ya kuvunja mkataba bila kumpa Niyonzima nafasi ya kujitetea na kupitia nyaraka zake za utetezi wake? Au hakuwa na nakala? Je maelezo ya uongo ya Tiboroha ndiyo yaliyofanya kamati ya maadili kutoa adhabu mbili kwa kosa lilelile yaani kuvunja mkataba na kudai fidia?

Lazima tukubaliane viongozi wa timu zetu wana sarakasi nyingi, hatupaswi kuwachukulia for granted kuwa wakweli eti kwa kuwa tu wamesema.
 
Namburuza nani kwa fact za kusikia? Ngoja nikusaidie, always jaribu kuelewa sources za info. Katibu ni mtendaji mkuu, he is a reliable source. Kwa hiyo anapotoa taarifa, inapaswa kuwa founded. Mimi nilicomment kufuatia kilichosemwa na katibu pasipo kumburuza mtu, labda kama haelewi level za uongozi.

Baada ya kubainika kuwa Tibo alisema uongo, wenye ufahamu wataendelea kuhoji, kwa ngazi yake alikuwa name motive gani? Si jambo la kawaida kwa kiongozi wa ngazi yake kuibua uzushi wa aina hii. Lazima kuna motive behind the whole saga
 
akiongea ponjoro basi wote mnakubali kisa fedha zake,ndomana hzo hazina hata viwanja vya mazoezi,hao wanaoitwa wanachama na wapenzi vichani hakuna kitu
 
Manji aache uongo, yeye ndo alitaka afukuzwe kaona amestukiwa anamzushia mwenzako. Ndo maana amenyimwa kugombea umeya. Madega njoo umng'ate Manji anaharibu klabu kongwe.
 
Hata mi nilishangaa sana Niyonzima kufanya mambo kienyeji hivo, kumbe nyuma yake kuna makubwa hivi
 
Back
Top Bottom