Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 227
- 26
Siku moja niliwa sema siku Manji akisusa gafla kuto uhisani Jangwani ndio mwanzo wa matatizo... jamaa mmoja akajib kwa kejeli kwani Manji nani ... Ysnga ilikwepo kabla ya Manji na itaendelea kuwepo hata bila ya Manji... sasa acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe...
Hivi yule mzee anajua kuandika jina lake?Nadhani ni wakati wa Mzee Akilimali kuchukua nafasi ya Uenyekiti kuiokoa Yanga...!
Barua ya kumpeleka Chirwa kwa Mganga alidraft yeyeHivi yule mzee anajua kuandika jina lake?