Manji vs Yanga Sc.

Manji vs Yanga Sc.

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
227
Reaction score
26
Siku moja niliwa sema siku Manji akisusa gafla kuto uhisani Jangwani ndio mwanzo wa matatizo... jamaa mmoja akajib kwa kejeli kwani Manji nani ... Ysnga ilikwepo kabla ya Manji na itaendelea kuwepo hata bila ya Manji... sasa acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe...
 
Umeandika nini Ndugu yangu!!!! kwani Yanga sasa haipo???
 
Nadhani ni wakati wa Mzee Akilimali kuchukua nafasi ya Uenyekiti kuiokoa Yanga...!
 
Back
Top Bottom