Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 227
- 26
Siku moja niliwa sema siku Manji akisusa gafla kuto uhisani Jangwani ndio mwanzo wa matatizo... jamaa mmoja akajib kwa kejeli kwani Manji nani ... Ysnga ilikwepo kabla ya Manji na itaendelea kuwepo hata bila ya Manji... sasa acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe...