Hakika kabisa ishu ya kusoma misa kanisani kwaajili ya taasisi ya watu mchanganyiko (kama benki) ni kituko cha aina yake, unless kama mleta mada amekosea au kuchanganya jambo hili, labda pia aliitwa shehe ili asome dwaa kukidhi upande wa pili wa dini!
Mi nilivyosoma ni kuwa mleta mada amesema KIMEI kaaaanda misa ya shukrani kwa maneno mengine misa ni ibada kwa kiswahili rahisi. sasa hapo hatujui ilifanyika wapi na viongozi wa dini ipi walifika katika kuongoza hiyo ibada ya shukrani ila tumeambiwa kaalika wafanyakazi WOTE. sasa nafikiri badala kuanza kurushiana maneno tungeomba maelezo zaidi kutoka kwa mtoa mada.
the goal of every firm is to maximize returns for shareholders..he has every right to celebrate as he is also a shareholder..also bonuses to employees is a way of reducing agency problems when we refer to the agency theoryAmeendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa. Amealika wafanyakazi wa benki ya crdb toka nchi nzima kuja dar es salaaam kuhudhuria sherehe na misa ya leo, nauli na gharama za kukaa dar ni juu ya benki. Zaidi ya yote, kuanzia mwezi januari mwakani kila mfanyakazi atakuwa akipata 'bonus' ya sh 120,000/= kila mwezi.
Haka kanchi ni katamu sana ukikapatia!
the goal of every firm is to maximize returns for shareholders..
he has every right to celebrate as he is also a shareholder..
also bonuses to employees is a way of reducing agency problems when we refer to the agency theory
1. Economic Entity Assumptionbusiness transactions of a sole proprietorship separate from the business owner's personal transactions. For legal purposes, a sole proprietorship and its owner are considered to be one entity, but for accounting purposes they are considered to be two separate entities.
The accountant keeps all of the
Hakika kabisa ishu ya kusoma misa kanisani kwaajili ya taasisi ya watu mchanganyiko (kama benki) ni kituko cha aina yake, unless kama mleta mada amekosea au kuchanganya jambo hili, labda pia aliitwa shehe ili asome dwaa kukidhi upande wa pili wa dini!
SMU,
Hata mimi nafikiri kama wewe. Haiingii akilini CEO wa PLC atumie fedha za benki kwa shughuli ya kikanisa.
Hapa kuna possibilities mbili.
1. Kuna smear campaign na habari hizi hazina ukweli.
2. Bongo imeoza kiasi kwamba mambo ya kweli yakianikwa yanaonekana kama smear campaign.
I hope it is the first one, because if it is the second one, tupo pabaya kuliko nilivyofikiri.
Mi nilivyosoma ni kuwa mleta mada amesema KIMEI kaaaanda misa ya shukrani kwa maneno mengine misa ni ibada kwa kiswahili rahisi. sasa hapo hatujui ilifanyika wapi na viongozi wa dini ipi walifika katika kuongoza hiyo ibada ya shukrani ila tumeambiwa kaalika wafanyakazi WOTE. sasa nafikiri badala kuanza kurushiana maneno tungeomba maelezo zaidi kutoka kwa mtoa mada.
Kwanini huamini kuwa jamaa amesoma misa ya shukrani kwa ajili ya mafanikio ya benki kupata faida kubwa mwaka huu? Kama una mtu unayemjua anafanya kazi crdb muulize atakwambia ni kweli kulikuwa na hiyo misa iliyofuatiwa na sherehe ya kujipongeza
fanyeni utafiti kabla ya kubwabwaja hapa....Acheni kudanganyana ile ilikuwa ni misa ya kimei kwenda kumshukuru Mungu kwa mafanikio ambayo bank imepata yeye kama CEO kwake ni kama furaha na jambo la kushukuru,then akaamua kualika wafanyakazi wa karibu atakaependa kumuunga mkono aende kujiunga nae...haukuwa lazima na hakuna alielipiwa chochote.
ni sawa na mtu anaeenda kushukuru Mungu kwa kitu chochote then akaomba rafikize wamsindikize
wakuu misa huwa haina gharama kama wengi mnavyotaka kubadili ukweli wa thread hii. Gharama ya misa haifikii hata 10,000/= kiasi ambacho mhusika mwenyewe ana uwezo wa kukitoa. Issue ni huko kusoma misa pekee bila kufanya kitu kama hicho kwa ajili ya watumishi wa imani nyingine kama baadhi wanavojaribu kujenga hoja.
:help:nanukuu sehemu ya post "Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa"
sasa hapo ukristo unakujaje, misa ya kumshukuru mungu tafsri yake ni kushukuru kikiristo? misa inwahusisha waumini wote na ni neutral na haina madhara kwa wapagani, ni kama ile sala ya bungeni huwezi sema ni ya dini fulani, lakini bunge linafunguliwa kwa sala ya kumwomba mungu.
Nisichoamini - kinachoniwia ugumu kuamini- si kusomwa kwa misa, ni hilo jambo la Kimei kutumia fedha za CRDB kufanikisha hiyo misa.
This is against the most basic of not only corporate governance ethics, but also PR moves.
QUOTE]
Naomba nitofautiane na wewe
Biashara kama ilivyo siasa unatafuta wateja popote ikiwemo misikitini na makanisani ndio maana kuna Islamic Banking kwenye mabenki yes wanatumia pesa ku-promote islamic banking ili waisllamu waione ni benki yao wajiunge benki lipate faida kubwa.Kwa hiyo hata CRDB kuingia kanisani wakafikia malengo ya wakristo waione Benki kama ni yao wakajiunga kwa wingi watakuwa wamefanya vizuri.Ukumbuke makanisa pia yanakusanya mamillioni ya sadaka sasa akiwapata makanisa yakaweka hayo mamilioni ya pesa za sadaka benki itakuwa mbali.Kwa hiyo benki kuingia kanisani si kitu cha ajabu kibiashara.Inaenda ku-ongeza image,kujitangaza na kusaka customers.Kupata customer mzuri siyo kitu cha mchezo.Customer mzuri humsubiri dukani lazima umfuate aliko.Usifikiri ukitangaza tu radion,Tv n.k kuwa aje atakuja wako customer wazuri sana wanakuwa na nyodo inabidi umfuate huko aliko kwa kila mbinu.
Benki zote zina makundi wanayolenga (target market).Kuna benki zinalenga wazungu,wahindi,waarabu,wenye migodi,wamarekani,waingereza n.k
Dr.Kimei kafanya kazi kubwa CRDB ilikuwa mahututi lakini kaipaisha kiasi kuwa iko vizuri.
Halafu hizo ibada pia hazifanyi tu analenga maeneo ya makanisa ya wenye nazo ambako anajua wakiingia benki inakuwa imepata wateja wa nguvu makanisa yenyewe au waumini matajiri waliomo kwenye hayo makanisa.Ni just business strategy.
kingadvisor@yahoo.com