Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

These were the real cartoons, nowadays wana animation movies....
Na cartoons nyingine wameweka maudhui ya ngono, mahusiano ya jenda moja basi vurugu tupu...
Na alipoingia Ben Ten na agenda ya kupigana basi ni vurugu mechi.

Mimi nilianzia katuni za kina Tin Tin..., sijui kama kuna aliyeziona humu.

Walikuwa na magazine yao pia...

Those were the days...

K Matata.
 
kipindi hicho were good old days sikuwa hata na mawazo ya kulipa bills [emoji28]
 
Hii episode ni one of my favorite, inaitwa MOUSE EXTERMINATOR.....🤣🤣🤣
Tom alisumbuliwa na Jerry akapiga simu kwa BUTCH, jamaa likaja na Briefcase kubwa kweli.
Sasa Jerry akawashinda wote wawili, BUTCH kuona kafedheheshwa akatoa gobole akaanza mfukuza Tom.

Episode yenyewe hii hapa:
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walipata tabu sana wakapuliza hadi sumu wapi
 
Siku zote tuna amini tom na Jerry ni wanaume lakini hatujui jinsia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…