Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Mwenye link au anaweza jua wapi nawepata hii series ya hii katuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye link au anaweza jua wapi nawepata hii series ya hii katuni
Haya ndio yanayo nitokea kwa huyu mrembo Kelsea
Hii nakumbuka boya lilivuta hii sigara likapuliza moshi juu, ukatoa alama ya moyo (I Love You).
Hii ni Tom and Jerry ya mwanzoni kabisa, ambapo Tom alikuwa anaitwa Jester..
Hii episode ni one of my favorite, inaitwa MOUSE EXTERMINATOR.....🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walipata tabu sana wakapuliza hadi sumu wapiHii episode ni one of my favorite, inaitwa MOUSE EXTERMINATOR.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tom alisumbuliwa na Jerry akapiga simu kwa BUTCH, jamaa likaja na Briefcase kubwa kweli.
Sasa Jerry akawashinda wote wawili, BUTCH kuona kafedheheshwa akatoa gobole akaanza mfukuza Tom.
Episode yenyewe hii hapa: