Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

Yes, alikuwa mjomba ake akipita mapaka yote yanajificha nlikuwa nacheka kuna mmoja alijizika eti kafa... kumuogopa jamaa
Akajiwekea na jiwe la wasifu wa marehemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kizazi kipya ndo hivi vitu mmeangalia. Sisi zamani video vinaeletwa shuleni kwa mwaka mara moja mnachagangia shilingi kumi na tano
 
BUTCH jamaa huwa ana vurugu huyu, kuna ile alikuwa Homeless akaokotwa akajifanya kitoto...Tom ikawa kazi yake ku take care of him

Bila kuishau episode ya El magnifico Mouse “nobody can catch el-magnifico mouse”

Baadhi ya watu ukiongea mambo ya Tom na Jerry wanakushangaa wanasema umri umeenda eti[emoji28]

Likawa lina lia gua gua agu gu guuu lipewe mazima. Tom alikua ana mind anajua ili paka la mtaani linanibania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii episode ni one of my favorite, inaitwa MOUSE EXTERMINATOR.....🤣🤣🤣
Tom alisumbuliwa na Jerry akapiga simu kwa BUTCH, jamaa likaja na Briefcase kubwa kweli.
Sasa Jerry akawashinda wote wawili, BUTCH kuona kafedheheshwa akatoa gobole akaanza mfukuza Tom.

Episode yenyewe hii hapa:

Hiii naikumbuka sana. Mkuu nikumbushe ile walikuwa wanagombea kitanda cha kulala cha kuninginia inaitwaje
 
BUTCH jamaa huwa ana vurugu huyu, kuna ile alikuwa Homeless akaokotwa akajifanya kitoto...Tom ikawa kazi yake ku take care of him

Bila kuishau episode ya El magnifico Mouse “nobody can catch el-magnifico mouse”

Baadhi ya watu ukiongea mambo ya Tom na Jerry wanakushangaa wanasema umri umeenda eti[emoji28]
Ile Episode inaitwa "BABY BUTCH"....
Njemba ilikuwa imevalishwa bonge la mnepi halafu Tom analibeba..... 😂 😂 😂
 
One of the best cartoon ever.
Kuna yule mmama black mnene ktk nyumba anayokaa Tom tulimuitaga Aunt yake na Tom kumbe yule alikuwa house maid.....yaani nimekuja kufahamu hili mwaka huu duh...
Tulichanganya sisi utotoni mpaka huu uzee tulikuwa tunajua yule ni Aunt yake Tom kutokana na ile episode Tom anaachiwa urithi halafu kwa achini ikaandikwa and Jerry. Kumbe yule mmama alikuwa house maid wenye nyumba anayoishi Tom ni white. Kuna episode hivi anaonekagana mdada white ana kitoto then episode nyingine mtoto ameanza kukua then ana mtake care Tom Kama mtoto then ile mipaka jizi inamcheka Tom.
 
FB_IMG_16597306707624787.jpg


Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Habari za wakati huu

Katika utoto wangu nilikuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa katuni hasa Tom & Jerry lakini kwa jinsi watu wanavyoiongezea manjonjo kwa sasa nabaki kufurahi tu.

Nyingine mtaongezaView attachment 2299967

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hii Episode inaoitwa SLEEPY-TIME TOM.....
Jamaa liliambiwa lilinde Jerry asitokee sasa likawa linabwiya kahawa, lakini usingizi hauliachi.....
Jinga likaanza kuweka Tooth-Pick na Sellotape machoni......
 
Tom akalishtukia sema lile jamaa lina vurugu aisee

Kiboko yao yule Jerry’s cousin ambae mbabe anapiga ngumi sana
Cousin muscles anaitwa. Jerry aliwahi kumuandikia barua ili aje kumtia adabu Tom.
Dear cousin muscles,
I'm having serious trouble with Tom. Need your help at once.
Jerry.
Alivyowasili sasa mziki wake, acha kabisa [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom