Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

Qmqmqq
FB_IMG_16603977217084710.jpg
 
Kizazi kipya ndo hivi vitu mmeangalia. Sisi zamani video vinaeletwa shuleni kwa mwaka mara moja mnachagangia shilingi kumi na tano
Kizazi kipya ndo kipi? Tom and jerry zinazoongelewa hapa zilikuwa produced miaka ya 1940 ya mwisho 1958 , wakati wa hanna barbera na mgm cartoon nyingi nzuri zilikuwa procuded na Fred quimby.
Fasihi iliyotumika kutengeneza hizo cartoon si ya kitoto ndo mana hadi leo zinaangaliwa na watu wakubwa . Kuna moja inatwa pet peeve, mbwa na paka waliambiwa wamtafute panya kwenye nyumba atakayempata ndo abaki , panya alikuwa anatafutwa hadi kwenye jokofu!! Kiuhalisia panya hawezi kaa kwenye jokofu ,
Awamu ya tano viongozi walikuwa wanafanya vitu irrelevant ilimradi tu wainekane wapo kazini, nilikuwa naifananisha na pet peeve
 
Back
Top Bottom