Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mazee, binafsi nadhani kuna baadhi ya Episodes mle ndani ni nzuri,....Ya mwaka 1963 sijawahi kuipenda
Tembea ya haya majamaa tu, ndiyo ilikuwa inaniua... 🤣 🤣 🤣
Sie tulimpa jina huyo Butch tulikuwa tunamuita Aguguuu yaani ile ita yakeNakumbuka hili genge lilikuwa linaongozwa na hilo paka jeusi, linaitwa BUTCH!
Aisee, kwenye hii Episode nakumbuka hawa jamaa walimtesa sana TOM.
Inaitwa BABY BUTCH.......Sie tulimpa jina huyo Butch tulikuwa tunamuita Aguguuu yaani ile ita yake
Unaweza kukumbuka hiyo episode ilikuwa inaitwaje maana ni muda sana
Hawa jamaa sasa jinsi wananavyotembea utacheka [emoji1787][emoji28] mikwala mingi na taizi kilichotokea wakazolewa na koleo
Ndio nashangaa sasa nadhani wote ni me tu.Mbona alipata demu