Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry


BUTCH jamaa huwa ana vurugu huyu, kuna ile alikuwa Homeless akaokotwa akajifanya kitoto...Tom ikawa kazi yake ku take care of him

Bila kuishau episode ya El magnifico Mouse “nobody can catch el-magnifico mouse”

Baadhi ya watu ukiongea mambo ya Tom na Jerry wanakushangaa wanasema umri umeenda eti[emoji28]
 
Jamaa alikuwa anataka paja la mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] Nimekumbuka kuna ile Episode sijui inaitwaje kuna “MECHANO THE CAT OF TOMORROW”
Hiyo huwa inaniacha hoi the way Tom kabebeshwa furushi lake anafukuzwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa anataka paja la mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tom akalishtukia sema lile jamaa lina vurugu aisee

Kiboko yao yule Jerry’s cousin ambae mbabe anapiga ngumi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…