Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii episode ni one of my favorite, inaitwa MOUSE EXTERMINATOR.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tom alisumbuliwa na Jerry akapiga simu kwa BUTCH, jamaa likaja na Briefcase kubwa kweli.
Sasa Jerry akawashinda wote wawili, BUTCH kuona kafedheheshwa akatoa gobole akaanza mfukuza Tom.
Episode yenyewe hii hapa:
Jamaa alikuwa anataka paja la mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23]BUTCH jamaa huwa ana vurugu huyu, kuna ile alikuwa Homeless akaokotwa akajifanya kitoto...Tom ikawa kazi yake ku take care of him
Bila kuishau episode ya El magnifico Mouse “nobody can catch el-magnifico mouse”
Baadhi ya watu ukiongea mambo ya Tom na Jerry wanakushangaa wanasema umri umeenda eti[emoji28]
na ndio katuni maarufu kuliko zoteNdo katuni bora hadi SAsa Hakuna
Ndg yangu hauko peke yako...tuko wengiMim mpaka sasa na mandevu yangu huwa naangalia Tom and Jerry pia kuna pink panther nayo n nzuri
Tom akalishtukia sema lile jamaa lina vurugu aiseeJamaa alikuwa anataka paja la mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya lile lipaka la umeme lina matairi miguuni, lina antena ina taa nyekundu kichwani......😂😂😂[emoji23] Nimekumbuka kuna ile Episode sijui inaitwaje kuna “MECHANO THE CAT OF TOMORROW”
Ndio, yuko advanced kama Terminator ana silaha hizo 😂😂😂Ile ya lile lipaka la umeme lina matairi miguuni, lina antena ina taa nyekundu kichwani......😂😂😂
Yule mjomba yake jerry