Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

Watu wale wakafanikiwa kumchukua Manka na bwana wake Paroko, wakawaingiza kwenye gari na kupotea nao jumla mpaka leo.
 
Ukahaba,kuishi na mhalifu,wizi,dhuruma,ufitini,uongo,tamaa,hivyo vote huvuta matatizo
Mara nyingi uo ni mnyororo wa vizazi vingi uko nyuma. Unakuta wazazi wao walikuwa ivoivo so wanapasiana mabalaa vizazi kwa vizazi. alianza babu adi wajukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…