Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Umbea nusu nusu😅😅Sasa mbona hii picha ya mwisho namba ya simu imezibwa?
Umbea nusu nusu😅😅Sasa mbona hii picha ya mwisho namba ya simu imezibwa?
Itagoma kudinda au sio!!?Manka mwenyewee ndo huyo....dah wanaume tunaroho ngumu,mi hi sipigii
October 2025 hatoboi nani hatoboi?Majambazi mara nyingi hutumia wanawake ili kufanikisha mission kwa urahisi.
Huyo manka ndiye jambazi/chambo
Wanasema Shaba ya kisogoni haiumi sanauwa najiuliza .unawezaje kumuua binadamu mwenzio
Ila haya maisha haya nina maswali private nataka nikuulizeKabisa usemacho
Mbona kama imetuna hivi aiseh!!Mnataka kukimbizana jukwaani?
Twende chemba kidogo private tukazungumze kidogo maswali mawili matatu, swali la kwanza umetupiga block kuizoom picha yako hio ya miplau kwanini?Karibu
Kwanza jibu hilo hapaHaya, utaniuliza hukohuko
Sasa umenicheck bobo na huku umezima convo najibujeSina sababu kwani nimeamua tu