Manowari USS Abraham Lincoln Yajiweka Sawa Kuushambulia Utawala wa Kigaidi wa Ayatollah.

Hizo manowari ambazo ikiletwa supersonic Moja tu na historia yake inafutika zisikutishe sana
Ni kweli unacho sema ila ni rahisi sana serikali ya iran kuangushwa kijeshi na USA kwa sababu IRAN NI UFALME ULIOFARAKANA NDANI YAKE....kama Marekani ikifanya mashambulizi iran basi wananchi wa iran watakuwa upande wa Marekani...hivyo serikali ya iran kuanguka.udhaifu mkuu wa serikali ya Iran upo ndani yake.
 
Mchambuzi kutoka bongo🤣🤣🤣🤣
 
Nakumbuka Trump term yake ya kwanza alimuwekea mkwala mbuzi Kiduku kwa kupeleka hiyo mimeli, cha kuchekesha mimeli ilipitiliza wakajikuta wametokea walipoanzia safari 🤣🤣🤣
Kama ni thibitisha.
 
Ni kweli unacho sema ila ni rahisi sana serikali ya iran kuangushwa kijeshi na USA kwa sababu IRAN NI UFALME ULIOFARAKANA NDANI YAKE....kama Marekani ikifanya mashambulizi iran basi wananchi wa iran watakuwa upande wa Marekani...hivyo serikali ya iran kuanguka.udhaifu mkuu wa serikali ya Iran upo ndani yake.
Probably 95% US itashambulia angani, itadominate anga kama walivyofanya mwaka jana. Je, endapo ikatokea ikawasaidia silaha waandamanaji, nini kitatokea? Dola ya Iran itaanguka rasmi kama usemavyo.

Hiyo Aircraft Carries na Strike Group ni wamesheheni kila kitu, everything kipo hapo ndani kwa dhumuni la kupambana na Iran. Hapo bado mkuu Israel inasubiri kauli tu iingie ndani Irani.

Huu ni wakati ambao wananchi wa Iran wamejawa na furaha ya hali ya juu, walau matumaini wameanza kuyaona.
 
Kwahiyo wewe msukuma wa Maswa una akili kuliko CIA?
Kwa sasa nipo huku jimboni peramiho. Sina akili sana kuliko cia ila hata wao wanajua risks za kusogeza meli vita eneo ambako zinaweza kugongwa na vimondo vuenye speed.
 
Sio rahisi kushambuliwa, Ina heavy layered defense system. Unazungumzia kitu chenye thamani ya karibu ya Trillion 15. Usifikiri ni rahisi tu kombora kushambulia na kuimaliza
 
Hiyo si ndiyo ili-manouvre kukwepa makombora ya houthi hadi ikadondosha ndege vita tatu baharini
Iran nao wamepewa mizigo ya kutosha na china na urusi,ngoja tuone
 
Ndege vita 3? Ha ha ha
 
Back
Top Bottom