Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
DuhHoja zako wewe ni za kitoto sana ..ni sawa sawa na mtu asrme yeye awezi kufa kwa sababu jana na juzi hakufa
DuhHoja zako wewe ni za kitoto sana ..ni sawa sawa na mtu asrme yeye awezi kufa kwa sababu jana na juzi hakufa
Kama unavyo ongea kwa mahaba kwa upande wakoWatu mnaongea kwa mahaba sana humu ndani, mnaona hiyo Carrier ni rahisi tu kuzamishwa.
1980-1988 Marekani aliipiga Iran indirect kwa kumtumia Iraq na kumpa abundant aid ya jeshi na silaha. Mbona Iran haikuanguka!?Iran hana uwezo wa kupigana na USA tumia akili... iran inaweza kupigana na Israel siyo USA...marakani ikianza kuipiga iran itapiga vitega uchumi muhimu na kufanya raia kuchukia serikali ..uchumi ukifa utaendeshaje vita
Iran vita ya June war walihujumiwa mifumo yao ya ulinzi.Hakuna mfumo upo sahihi kwa 100%, haiwezekani yakarushwa makombora 500 alafu baadhi yashindwe kupita
Sio makombora tu hata jets zipo ambazo zingeweza kuingia ndani ya anga.
Iran wana teknolojia kubwa sana ya ulinzi, unafikiri walikua wanapenda ndege za Israel kuingia na kushambulia?
Mfumo haiwezi kufanya kazi kwa 100%
Mkuu mbona umesema kama ambacho nimesema? Hakuna mfumo ulio sahihi kwa 100%Iran vita ya June war walihujumiwa mifumo yao ya ulinzi.
ADS takriban zote zilishadukuliwa na kuharibiwa na vilipuzi. Ulitegemea Iran angejilindaje!?
Ila rejelea nyuma 2024 Oktoba Israel iliishambulia Iran kwa ndege 100 kulipa kisasi cha true promise,mashambulizi zaidi ya 90% Iran aliyazuia na mifumo yake ya anga ya Khordak.
Madhara yalitokea madogo sana.
Ila 2025 walimuwahi kwa kumfanyia sabotage.
Kiufupi kama hypersonic missiles zitatumika hizo aircraft carrier sidhani kama zitapona.
Hivi wewe naelimisha binadamu au nguruwe ? Nimekuambia iran haipo stable ndani kwa sasa ...wewe unaniambia habari ya 1880 🙄🙄 total primitive....kwahiyo wewe unadhani iran haiwezi kupigwa kwa namna yoyote (kwa hiyo iran ni kama Mungu fulani hivi asiye shindwa)?....1980-1988 Marekani aliipiga Iran indirect kwa kumtumia Iraq na kumpa abundant aid ya jeshi na silaha. Mbona Iran haikuanguka!?
Iran sio nchi dhaifu kama mnavyodhani,June war 2025 Trump alifikiria kufanya kama unachosema,ila alisitisha baada ya kuona askari wake katika kambi za mashariki ya kati wangelipa gharama.
Na sasa Iran ameunda ICBM yenye range ya 20000kms. Inamaana Iran ana uwezo wa kurusha kombora likafika Marekani.
Je USA ina uwezo wa ku engulf damage atakayoisababisha Iran!?
sasa wewe hujui ata matumizi yPeleka uzwazwa wako huko we duduna. Teknolojia inakuwa kwa kasi wewe bado upo kwenye blanket la a moving target. Kapitie supersonic na hypersonic Zinazo weza hiyo kazi kabla ya kuja kubwa waja hapa
Nakupa hii.
Missiles, such as the BrahMos-A and various hypersonics, use advanced terminal guidance, maneuvering capabilities, and real-time data to track and destroy targets like aircraft carriers.
wewe hujui ata matumizi ya hypersonic na supersonic, Kwenye misseile hatutumii hypersonic n sawa na useme sukari mita mbili. Pili hapa n game of first attack Itan akianza kushambulia ana 70% ya kuwin, tatzo ujasiri huo hawez upata maana us ikimuanza it will be total destruction in short timePeleka uzwazwa wako huko we duduna. Teknolojia inakuwa kwa kasi wewe bado upo kwenye blanket la a moving target. Kapitie supersonic na hypersonic Zinazo weza hiyo kazi kabla ya kuja kubwa waja hapa
Nakupa hii.
Missiles, such as the BrahMos-A and various hypersonics, use advanced terminal guidance, maneuvering capabilities, and real-time data to track and destroy targets like aircraft carriers.
inatokea wapi hiyo supergay hiyo manoari huijui fanya uijueHizo manowari ambazo ikiletwa supersonic Moja tu na historia yake inafutika zisikutishe sana
Basi wacha tuone itakavyokua.Mkuu mbona umesema kama ambacho nimesema? Hakuna mfumo ulio sahihi kwa 100%
Hapo umesema Vita ya June kulikua na hujuma, Ila 2024 mashambulizi ya Israel yalizuiwa kwa 90%. Kwa nn 90% na sio 100%? Hapo si ndio utarudi kwa nilichosema
Mfumo haiwezi kuwa sahihi kwa 100%
Umeishia darasa la ngapi we kijana!?Hivi wewe naelimisha binadamu au nguruwe ? Nimekuambia iran haipo stable ndani kwa sasa ...wewe unaniambia habari ya 1880 🙄🙄 total primitive....kwahiyo wewe unadhani iran haiwezi kupigwa kwa namna yoyote (kwa hiyo iran ni kama Mungu furani hivi asiye shindwa)?....
-Marekani alifanya majaribio ya nuclear na silaha za sumu Bikini Islands.Naona magaidi wote wako upande wa mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani.
Kwanini kwenye missile isitumike hypersonic!?sasa wewe hujui ata matumizi y
wewe hujui ata matumizi ya hypersonic na supersonic, Kwenye misseile hatutumii hypersonic n sawa na useme sukari mita mbili. Pili hapa n game of first attack Itan akianza kushambulia ana 70% ya kuwin, tatzo ujasiri huo hawez upata maana us ikimuanza it will be total destruction in short time
Baaaasi kaka nimekubaliPeleka uzwazwa wako huko we duduna. Teknolojia inakuwa kwa kasi wewe bado upo kwenye blanket la a moving target. Kapitie supersonic na Zinazo weza hiyo kazi kabla ya kuja kubwa waja hapa
Nakupa hii.
Missiles, such as the BrahMos-A and various hypersonics, use advanced terminal guidance, maneuvering capabilities, and real-time data to track and destroy targets like aircraft carriers.
Marekani iliondoka somalia..siyo kwamba ilishindwa vita bali watu wanaangalia kipaumbele na maslai ....mfano wewe ukienda kununua kilo ya unga ukakuta kilo sh 20000 wakati bei yake ni sh1500 hauta nunua siyo kwamba pesa hauna laUmeishia darasa la ngapi we kijana!?
Maana ya relevance hujui?
Nimetoa mfano wa 1980 kama relevance.
Pia nimekusahihisha SUALA LA KUSEMA IRAN HAIPO STABLE NDANI FUTA HILO.
Wewe na mossad nani mwenye chanzo sahihi??
Mossad wenyewe wamekiri kuwa Iran ime contain internal pressure na ngumu kuvamiwa kwasasa.
Doh! mwalimu wako alikua ana tabu sana kukufundisha.
Hivyo vikundi vya kigaidi vinavyodaiwa kuundwa na Marekani kwa nini wasiunde hata moja ya wakristo kwa nini vyote viwe vya waislamu tu!!???-Marekani alifanya majaribio ya nuclear na silaha za sumu Bikini Islands.
-Marekani aliwafadhili Taliban.
-Marekani aliunda ISIS na kuwafadhili.
-Marekani aliunda vikundi vya kurdi fighters na kuwafadhili.
-Marekani amefadhili uvunjifu wa serikali nyingi ikiwemo Libya na Iraq,na kwasasa hizo nchi zinaishi maisha magumu sana.
Je nani gaidi kati ya Marekani na Iran!?
Jibu tafadhali.
The presence of the US military in Somalia was purely for peace keeping purposes and not for the war mission.Marekani iliondoka somalia..siyo kwamba ilishindwa vita bali watu wanaangalia kipaumbele na maslai ....mfano wewe ukienda kununua kilo ya unga ukakuta kilo sh 20000 wakati bei yake ni sh1500 hauta nunua siyo kwamba pesa hauna la
Yameisha 😁😁😁Baaaasi kaka nimekubali
Usitake kudanganya watu wewe.Marekani iliondoka somalia..siyo kwamba ilishindwa vita bali watu wanaangalia kipaumbele na maslai ....mfano wewe ukienda kununua kilo ya unga ukakuta kilo sh 20000 wakati bei yake ni sh1500 hauta nunua siyo kwamba pesa hauna la