Kwamba USA hawajui kwamba meli yao inaweza kulipuliwa hvy wabaki kusubiri tukio ndipo watafute teknolojia ya kuzuia kushambuliwa 😂Hao watu hawajui wanachosema, huwezi tumia mabomu yenye kasi ya mwanga dhidi ya meli au chochote ambacho kinatembea.
Inahuzunisha kuona mtu mmoja anajiona ana akili kuliko CIA, Jeshi zima la US hadi Engineers walizotengeneza hizo meli.
Anaiona US ni kama JWTZ au KDF ama M23 ya Kagame.Kwamba USA hawajui kwamba meli yao inaweza kulipuliwa hvy wabaki kusubiri tukio ndipo watafute teknolojia ya kuzuia kushambuliwa 😂
Huyo jamaa anaijua USA vita yake kwenye Instagram
Mkuu usijidanganye.Ni kweli unacho sema ila ni rahisi sana serikali ya iran kuangushwa kijeshi na USA kwa sababu IRAN NI UFALME ULIOFARAKANA NDANI YAKE....kama Marekani ikifanya mashambulizi iran basi wananchi wa iran watakuwa upande wa Marekani...hivyo serikali ya iran kuanguka.udhaifu mkuu wa serikali ya Iran upo ndani yake.
Mkuu hivi kuna ADS zenye nguvu kuliko THAAD,David Sling na Arrow 3!?Sio rahisi kushambuliwa, Ina heavy layered defense system. Unazungumzia kitu chenye thamani ya karibu ya Trillion 15. Usifikiri ni rahisi tu kombora kushambulia na kuimaliza
Kimekufurahisha nini!?Ndege vita 3? Ha ha ha
Mganga huamini dawa zake mpaka azidiweKwamba USA hawajui kwamba meli yao inaweza kulipuliwa hvy wabaki kusubiri tukio ndipo watafute teknolojia ya kuzuia kushambuliwa 😂
Huyo jamaa anaijua USA vita yake kwenye Instagram
Wewe unaongea kishabiki...nikama machawa wanavyo msifu samia kuwa ana kubalika ...udhaifu mkubwa sana wa iran upo ndani yake ...na nchi za magharibi wanajua hivyo ndiyo maana wanatafuta mwanya wa pingamizi za ndani kuangusha serikali ...udhaifu wa ndani ndiyo unaoweza kuiangusha serikali yoyote hata ikiwa na nguvu kiasi gani kijeshi na hata ikiwa na silaha za nuke....Iran ina hali mbaya sana ndani yake.Mkuu usijidanganye.
Iran NDANI IPO IMARA SANA.
Kama Iran ingekua imeparaganyika kwa ndani basi ingetosha kupinduliwa.
Mfano Libya,raia walianza kumshurutisha Gaddafi kabla NATO hawajaingia.
Ila raia wa Iran wamungana na uongozi wao.
Siku tano zilizopita hivi hukuona video raia wa Iran wakimvuta shati rais wao waandamane pamoja??
Hivi ingekua raia hawaipendi serikali yao yule rais angebaki mzima?
Tena wenyewe raia ndio wamemtaka rais atoke ajiunge nao kuandamana kuiunga mkono serikali.
USA na Israel walipenyeza mamluki wao wakawapa silaha wakurdi ili waanze mashambulizi ya ndani.
Ila kwa muunganiko wa raia silaha 600 zimekamatwa na kambi ndogo ya wakurdi imefuchuliwa.
Mpango wa regime change ukafeli.
Unadhani Trump ni mjinga kusitisha mashambulizi wakati ule!?
Tatizo hujatumia akili ni ngumu kupiga a moving target.Hizo manowari ambazo ikiletwa supersonic Moja tu na historia yake inafutika zisikutishe sana
Kashiba zake ugali mkubwa Kwa mlenda na kambakoche..anachambua akiwa chini ya muembe😂😂Hao watu hawajui wanachosema, huwezi tumia mabomu yenye kasi ya mwanga dhidi ya meli au chochote ambacho kinatembea.
Inahuzunisha kuona mtu mmoja anajiona ana akili kuliko CIA, Jeshi zima la US hadi Engineers walizotengeneza hizo meli.
We ufudu tumiaga ata akili..Sasa supersonic itatumikaje kwenye moving target??Hizo manowari ambazo ikiletwa supersonic Moja tu na historia yake inafutika zisikutishe sana
Siongei kishabiki.Wewe unaongea kishabiki...nikama machawa wanavyo msifu samia kuwa ana kubalika ...udhaifu mkubwa sana wa iran upo ndani yake ...na nchi za magharibi wanajua hivyo ndiyo maana wanatafuta mwanya wa pingamizi za ndani kuangusha serikali ...udhaifu wa ndani ndiyo unaoweza kuiangusha serikali yoyote hara ikiwa na nguvu kiasi gani kijeshi na hata ikiwa na silaha za nuke....Iran ina hali mbaya sana ndani yake.
Hoja zako wewe ni za kitoto sana ..ni sawa sawa na mtu asrme yeye awezi kufa kwa sababu jana na juzi hakufaSiongei kishabiki.
Shida ya waswahili mnapenda kulazimisha hoja.
Unabisha nini ilhali hata wenyewe Mossad waliongea na kukiri maandamano yamefeli?
Kama udhaifu upo ndani kwanini walishindwa kuishambulia Iran wakati wa maandamano?
Kama Iran ina udhaifu ndani hao raia waliotoa taarifa polisi na jeshini kuhusu mamluki wa Kudi waliopewa silaha wametokea wapi??
MKUU WACHA KULAZIMISHA HOJA.
huyo jamaa ktu nlichogundua analeta udini tu ameandka porojo nyiingi zisizo na ushahidi zaid ya hisia naomba anipe link nptie taarifa kwmb china na urusi wamepeleka siraha iran, kngne ni kama anaandka kuitisha marekan kwmb inaenda kubondwa hawa ndo akna kihongosi wa iran full propaganda tu.Hoja zako wewe ni za kitoto sana ..ni sawa sawa na mtu asrme yeye awezi kufa kwa sababu jana na juzi hakufa
Huna hoja mzee,mara nyingi watu mkikosa hoja ndivyo mnavyokua.Hoja zako wewe ni za kitoto sana ..ni sawa sawa na mtu asrme yeye awezi kufa kwa sababu jana na juzi hakufa
Iran hana uwezo wa kupigana na USA tumia akili... iran inaweza kupigana na Israel siyo USA...marakani ikianza kuipiga iran itapiga vitega uchumi muhimu na kufanya raia kuchukia serikali ..uchumi ukifa utaendeshaje vitaHuna hoja mzee,mara nyingi watu mkikosa hoja ndivyo mnavyokua.
Nasema point yangu ya mwisho,Libya NATO walifanikiwa kwasababu raia kwenye maandamano walishirikiana na mamluki na kumvamia Gaddafi,inamaana Libya ilikua na mgogoro wa ndani.
Iran raia ndio waliotoa ripoti za mamluki na kuandamana kuiunga mkono serikali,kwa akili ya kawaida utasemaje Iran ni dhaifu kindani!??
Nahisi nabishana na teenager hapa.
Umesema ni ngumu ila hujasema haiwezekani.Tatizo hujatumia akili ni ngumu kupiga a moving target.
Aegis systems
Peleka uzwazwa wako huko we duduna. Teknolojia inakuwa kwa kasi wewe bado upo kwenye blanket la a moving target. Kapitie supersonic na Zinazo weza hiyo kazi kabla ya kuja kubwa waja hapaWe ufudu tumiaga ata akili..Sasa supersonic itatumikaje kwenye moving target??
Watu mnaongea kwa mahaba sana humu ndani, mnaona hiyo Carrier ni rahisi tu kuzamishwa.Peleka uzwazwa wako huko we duduna. Teknolojia inakuwa kwa kasi wewe bado upo kwenye blanket la a moving target. Kapitie supersonic na hypersonic Zinazo weza hiyo kazi kabla ya kuja kubwa waja hapa
Nakupa hii.
Missiles, such as the BrahMos-A and various hypersonics, use advanced terminal guidance, maneuvering capabilities, and real-time data to track and destroy targets like aircraft carriers.
Ndio aircraft carriers ni rahisi kuzamishwa hata sec.of war alisema China inauwezo wa kuzamisha aircraft carriers zao zote siku ikitokea vita na China kupitia makombora ya hypersonic waliyonayo.Watu mnaongea kwa mahaba sana humu ndani, mnaona hiyo Carrier ni rahisi tu kuzamishwa.
Hakuna mfumo upo sahihi kwa 100%, haiwezekani yakarushwa makombora 500 alafu baadhi yashindwe kupitaMkuu hivi kuna ADS zenye nguvu kuliko THAAD,David Sling na Arrow 3!?
Sidhani kama USA ana ADS bora zaidi ya hizi.
Ila zilishindwa kuzuia kombora la hypersonic la khoramshar linalokimbia kasi ya mach-16.
Nakwambia mkuu Iran akipiga makombora 15 tu kwenye hiyo meli inazamishwa.