Manowari USS Abraham Lincoln Yajiweka Sawa Kuushambulia Utawala wa Kigaidi wa Ayatollah.

Iran hana uwezo wa kupigana na USA tumia akili... iran inaweza kupigana na Israel siyo USA...marakani ikianza kuipiga iran itapiga vitega uchumi muhimu na kufanya raia kuchukia serikali ..uchumi ukifa utaendeshaje vita
1980-1988 Marekani aliipiga Iran indirect kwa kumtumia Iraq na kumpa abundant aid ya jeshi na silaha. Mbona Iran haikuanguka!?
Iran sio nchi dhaifu kama mnavyodhani,June war 2025 Trump alifikiria kufanya kama unachosema,ila alisitisha baada ya kuona askari wake katika kambi za mashariki ya kati wangelipa gharama.
Na sasa Iran ameunda ICBM yenye range ya 20000kms. Inamaana Iran ana uwezo wa kurusha kombora likafika Marekani.
Je USA ina uwezo wa ku engulf damage atakayoisababisha Iran!?
 
Iran vita ya June war walihujumiwa mifumo yao ya ulinzi.
ADS takriban zote zilishadukuliwa na kuharibiwa na vilipuzi. Ulitegemea Iran angejilindaje!?
Ila rejelea nyuma 2024 Oktoba Israel iliishambulia Iran kwa ndege 100 kulipa kisasi cha true promise,mashambulizi zaidi ya 90% Iran aliyazuia na mifumo yake ya anga ya Khordak.
Madhara yalitokea madogo sana.
Ila 2025 walimuwahi kwa kumfanyia sabotage.
Kiufupi kama hypersonic missiles zitatumika hizo aircraft carrier sidhani kama zitapona.
 
Mkuu mbona umesema kama ambacho nimesema? Hakuna mfumo ulio sahihi kwa 100%
Hapo umesema Vita ya June kulikua na hujuma, Ila 2024 mashambulizi ya Israel yalizuiwa kwa 90%. Kwa nn 90% na sio 100%? Hapo si ndio utarudi kwa nilichosema
Mfumo haiwezi kuwa sahihi kwa 100%
 
Hivi wewe naelimisha binadamu au nguruwe ? Nimekuambia iran haipo stable ndani kwa sasa ...wewe unaniambia habari ya 1880 πŸ™„πŸ™„ total primitive....kwahiyo wewe unadhani iran haiwezi kupigwa kwa namna yoyote (kwa hiyo iran ni kama Mungu fulani hivi asiye shindwa)?....
 
sasa wewe hujui ata matumizi y
wewe hujui ata matumizi ya hypersonic na supersonic, Kwenye misseile hatutumii hypersonic n sawa na useme sukari mita mbili. Pili hapa n game of first attack Itan akianza kushambulia ana 70% ya kuwin, tatzo ujasiri huo hawez upata maana us ikimuanza it will be total destruction in short time
 
Basi wacha tuone itakavyokua.
Ila hiyo manowari kila inapopita inapigwa picha.
 
Naona magaidi wote wako upande wa mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani.
 
Umeishia darasa la ngapi we kijana!?
Maana ya relevance hujui?
Nimetoa mfano wa 1980 kama relevance.
Pia nimekusahihisha SUALA LA KUSEMA IRAN HAIPO STABLE NDANI FUTA HILO.
Wewe na mossad nani mwenye chanzo sahihi??
Mossad wenyewe wamekiri kuwa Iran ime contain internal pressure na ngumu kuvamiwa kwasasa.
Doh! mwalimu wako alikua ana tabu sana kukufundisha.
 
Naona magaidi wote wako upande wa mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani.
-Marekani alifanya majaribio ya nuclear na silaha za sumu Bikini Islands.
-Marekani aliwafadhili Taliban.
-Marekani aliunda ISIS na kuwafadhili.
-Marekani aliunda vikundi vya kurdi fighters na kuwafadhili.
-Marekani amefadhili uvunjifu wa serikali nyingi ikiwemo Libya na Iraq,na kwasasa hizo nchi zinaishi maisha magumu sana.
Je nani gaidi kati ya Marekani na Iran!?
Jibu tafadhali.
 
Kwanini kwenye missile isitumike hypersonic!?
Hypersonic missile zipo na ni missile zinazokimbia kwa kasi kuliko aina yeyote ya missile.

Pia kuhusu Iran sio rahisi hivyo,kwamba eti akianza kushambuliwa basi utakua total destruction kwake. June 2025 alianza kushambuliwa ila aka contain mashambulizi na ku retaliate.
 
Baaaasi kaka nimekubali
 
Hapo visima 4 vya kuzalisha mafuta na gesi na vinu 6 tu vya kusafisha mafuta vya Iran vikishachakazwa inakuwa hamna tena vita hapo.

Maeneo yote ya Iran yanako hifadhiwa makombora yanajulikana vizuri sana pamoja na uchumi huu duni aliyonayo, Iran inakuwa kama kiwete hawezi kabisa kupigana vita na nchi kama Marekani wanaobisha ni kwa sababu za kidini tu ila hata wenyewe wanafahamu ukweli.
 
Marekani iliondoka somalia..siyo kwamba ilishindwa vita bali watu wanaangalia kipaumbele na maslai ....mfano wewe ukienda kununua kilo ya unga ukakuta kilo sh 20000 wakati bei yake ni sh1500 hauta nunua siyo kwamba pesa hauna la
 
Hivyo vikundi vya kigaidi vinavyodaiwa kuundwa na Marekani kwa nini wasiunde hata moja ya wakristo kwa nini vyote viwe vya waislamu tu!!???
 
Marekani iliondoka somalia..siyo kwamba ilishindwa vita bali watu wanaangalia kipaumbele na maslai ....mfano wewe ukienda kununua kilo ya unga ukakuta kilo sh 20000 wakati bei yake ni sh1500 hauta nunua siyo kwamba pesa hauna la
The presence of the US military in Somalia was purely for peace keeping purposes and not for the war mission.
 
Marekani iliondoka somalia..siyo kwamba ilishindwa vita bali watu wanaangalia kipaumbele na maslai ....mfano wewe ukienda kununua kilo ya unga ukakuta kilo sh 20000 wakati bei yake ni sh1500 hauta nunua siyo kwamba pesa hauna la
Usitake kudanganya watu wewe.
Marekani ilikimbia wakati vita unarindima ya kumkamata Farah Aidid. Na wakati wanakimbia waliwaacha wanajeshi wao NANE ardhini.
Nenda kafuatilie hiyo vita vizuri.
Marekani ilikimbia kwa kushindwa tena vita bado mbichi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…