Manowari USS Abraham Lincoln Yajiweka Sawa Kuushambulia Utawala wa Kigaidi wa Ayatollah.

The presence of the US military in Somalia was purely for peace keeping purposes and not for the war mission.
Peace keeping while they sent delta force 1993 to capture Farah Aidid??
 
Hiyo nchi unayoiita ina uchumi duni imewekwa kundi moja na Urusi kiuchumi na inafanya miradi mikubwa mara 10 ya mapato yako mazima ya mwaka ya taifa lako Tanzania.
 
Unaishi iran au upo kijiweni hapo bongo
 
Hivyo vikundi vya kigaidi vinavyodaiwa kuundwa na Marekani kwa nini wasiunde hata moja ya wakristo kwa nini vyote viwe vya waislamu tu!!???
PKK nani kakudanganya kuwa kikundi cha waislam?
PKK ni kikundi cha wakurdi ambao wana itikadi za kisiasa.
 
PKK nani kakudanganya kuwa kikundi cha waislam?
PKK ni kikundi cha wakurdi ambao wana itikadi za kisiasa.
Sawa lakini vipi kuhusu Isis, Al Qaeda, Al Shabaab, Islamic Jihad, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Houthi, Al Nusra nk.
 
Hivi kati ya Trump na Maduro raisi wa Venezuela nani Gaidi?
 
Au sio, lini sasa mnafanya haya mafekeche mkongwe? Haya ya kummaliza Iran, kama data zote mnazo mbona mnamchelewesha sana?
 
Sawa lakini vipi kuhusu Isis, Al Qaeda, Al Shabaab, Islamic Jihad, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Houthi, Al Nusra nk.
Hizbollah sio magaidi. Nenda kafuatilie historia yake. Hizbollah ndio iliyosaidia wakristo wasiuawe na sunni kipindi cha vita za wenyewe kwa wenyewe zilizofadhiliwa na Israel na Marekani. Hizbollah ndio iliyowaondoa Israel South Lebanon ili wasiendelee kuikalia Lebanon kusini.
Sijui audacity ya kuwaita magaidi unaitoa wapi ilhali serikali ya Lebanon inawakubali.
Houthi kilikua chama cha siasa Yemen ambacho kilishiriki harakati za siasa kabla ya Marekani kushinikiza Mansour ASIYEPENDWA NA WAYEMEN aendelee kubaki madarakani,ndipo houthi wakashika silaha kumtoa Mansour madarakani. Hapo ugaidi upo wapi?
Hamas iliundwa na Mossad 2005 ili kuivunja nguvu PLO isitawale Gaza. Wakaja kugeukana na Israel pale walipotaka utawala kamili wa Gaza.
Hamas inapokea pesa na ina makataba na Israel na ilishafichuliwa.
Alshabaab kundi la kikabila lililokua linapigania utawala Somalia baada ya utawala wa Aidid kuanguka 1990. Haihusiani na dini bali utawala.
Bokoharam,Alqaeda kuna wahuni kibao wa kiislam na kipagani na hata wa kikristo na ushahidi upo.Bokoharam na Alqaeda ni mercenaries tu hao.

This is not true.
Who told you ain't true??
You are ill-informed.
US sent delta force 1993 to capture Farah Aidid. Nenda ukasome vizuri.
Many delta force personnel died and when pulling back they left behind eight commanders battling for their lives.
 
Nakumbuka Trump term yake ya kwanza alimuwekea mkwala mbuzi Kiduku kwa kupeleka hiyo mimeli, cha kuchekesha mimeli ilipitiliza wakajikuta wametokea walipoanzia safari 🤣🤣🤣
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…