Mansa Musa, Richest man ever on records

Mansa Musa, Richest man ever on records

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,710
Reaction score
76,243
A new rich list claims to have found the answer of who is the richest of all time - and Bill Gates has been firmly put in his place Share

Rich rewards: Artist's impression of Mansa Musa It's a question which has prompted debate for generations - who is the richest person ever to live?

Now a new rich list claims to have found the answer. And Bill Gates has been firmly put in his place - by Mansa Musa I.

The little-known 14th Century West African King has come out top in the latest rich list, which has been adjusted to account for inflation.

Compiled by website Celebrity Net Worth, the 25-strong list spans 1,000 years and the people on it have a combined wealth of $4.317 trillion (£2.678
trillion).

Only three individuals on the list are alive today - Microsoft tycoon Bill Gates who comes in at number 12, Mexican Business mogul Carlos Slim Helu who came 22nd and US investor Warren Buffett who was placed 25th.

The infamous Rothschild family is placed second.

The list also includes Muammar Gaddafi, William the Conqueror and Scottish industry captain Andrew Carnegie.

But sitting in the top position is Mansa Musa I of Mali - ruler of the Malian Empire which is now modern day Ghana, Timbuktu and Mali.

The obscure leader was born in 1280 and had a personal net worth of $400 billion (£248 billion) by the time he died in 1337.

But just generations after his death, his wealth had diminished as his heirs struggled with civil war and invasions.

Website Celebrity Net Worth said: "We started off with roughly 50 people then finalised the top 25 after adjusting for inflation to bring the fortunes
into 2012 dollars.

"For example, $100 million in the year 1913 is equal to $2.299.63 billion in 2012 dollars thanks to the annual rate of inflation of 2199.6%.

"Our list includes some familiar modern names like Bill Gates and Warren Buffett, and older magnates like Vanderbilt and Carnegie.

"This list also includes some lesser known billionaires that you may have never even heard of before.

"And we guarantee the number 1 person on this list will make your jaw drop."

The list advertises itself as the "top 25" but there are actually 26 names on it because there are two people listed at number 22 with an equal fortune of
$68 billion (£42 billion).

There are no women on the list and 14 out of the top 25 are Americans.

LIST OF TOP 25 ACCORDING TO CELEBRITY NET WORTH

1 Mansa Musa I, born 1280, Net Worth $400 Billion (£248 billion)

2 The Rothschild Family, born 1744, Net Worth $350 Billion (£217 billion)

3 John D. Rockefeller, born 1839, Net Worth $340 Billion (£211 billion)

4 Andrew Carnegie, born 1835, Net Worth $310 Billion (£192 billion)

5 Nikolai Alexandrovich Romanov, born 1868, Net Worth $300 Billion (£186 billion)

6 Mir Osman Ali Khan, born 1886, Net Worth $230 billion (£142 billion)

7 William The Conqueror, born 1028, Net Worth $ 229.5 Billion (£142 billion)

8 Muammar Gaddafi, born 1942, Net Worth $200 Billion (£124 billion)

9 Henry Ford, born 1863, Net Worth $199 Billion (£123 billion)

10 Cornelius Vanderbilt, born 1794, Net Worth $ 185 Billion (£114 billion)

11 Alan Rufus, born 1040, $178.65 billion (£110 billion)

12 Bill Gates, born 1955, Net Worth $136 Billion (£84 billion)

13 William de Warenne, birth unknown, died 1088,Net Worth $147.13 Billion (£91 billion)

14 John Jacob Astor, born 1763, Net Worth $121 Billion (£75 billion)

15 Richard Fitzalan 10th Earl of Arundel, born 1306, Net Worth $118.6 Billion (73 billion)

16 John of Gaunt, born 1340, Net Worth $110 Billion (£68 billion)

17 Stephen Girard, born 1750, Net Worth $105 Billion (£65 bilion)

18 A.T. Stewart, born 1803, Net Wort $90 Billion (£55 billion)

19 Henry Duke of Lancaster, born 1301, Net Worth $85.1 Billion (£52 billion)

20 Friedrich Weyerhauser, born 1834, Net Worth $80 Billion (£49 billion)

21 Jay Gould, born 1836, Net Worth $71 Billion (£44 billion)

22 Carlos Slim Helu, born 1940, Net Worth $68 Billion (£42 billion)

22 Stephen Van Rensselaer, born 1764, Net Worth $68 Billion (£42 billion)

23 Marshall Field, born 1834, Net Worth $66 Billion (£40 billion)

24 Sam Walton, born 1918, Net Worth $65 Billion (£40 billion)

25 Warren Buffett, born 1930, Net Worth $64 Billion (£39 billion)
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, hebu nisaidie hapa nakumbuka mwl wangu alimpenda sana huyu King of Mali empire kama sijakosea hapo, alikuwa akipenda kutamka na lile jina lake la kati, kitu kama Mansa Kankani Mussa, hebu hilo jina la kati liweke vizuri mkuu, maana sikumbuki speling vizuri. Penda sana hii kitu, umenirudisha kidato cha pili
 
Kwa wakati ule Ghana ilisifika kwa kuwa ni source ya gold africa na aliimiliki yeye.

Alimiliki pia biashara zote za Afrika magharibi, kaskazini na kati. Wafanyabiashara wote lazima walipe kodi kwake.
 
Mnasifia ujinga,wakati wananchi wake masikini nchi masikini

Jaribu kuwa mwelewa kwa wakati yeye alipokuwepo utawala wake ulikuwa tajiri na alimiliki mali nyingi sana. Chini ya utawala wake hakukuwa na upungufu wa chakula wala mavazi kwa eneo lote alilolimiliki na ndio alikuwa tajiri kuliko watu wote ulimwenguni
 
Mansa mussa funika bovu........ Mtoa mada Funika bovu ndio nini?
 
Mansa mussa funika bovu........ Mtoa mada Funika bovu ndio nini?

Nilichomaanisha ni kuwa huyu jamaa katika matajiri wote duniani huyu jamaa utajiri wake ulikuwa unatisha licha ya kuwa alifariki miaka 700 iliyopita lakini hadi leo utajiri wake haujawahi kufikiwa. Utajiri wake ulikuwa ni $400 bilioni ambazo ni sawa na trilioni 40 wakati kina Bill Gates bado wapo kwenye trilioni kama 4 hivi.
 
Nilichomaanisha ni kuwq huyu jamaa katika matajiri wote duniani huyu jamaa utajiri wake ulikuwa unatisha licha ya kuwa alifariki miaka 700 iliyopita lakini hadi leo utajiri wake haujawahi kufikiwa. Utajiri wake ulikuwa ni $400 bilioni ambazo ni sawa na trilioni 40 wakati kina Bill Gates bado wapo kwenye trilioni kama 4 hv.

...INNALLAHA YARUZUQU MAN-YASHAAU BIGHAILI HISAB(Hakika Mwenyezi Mungu Humruzuku Amtakae Bila Ya Hesabu)
 
Mansa kankan Musa alikuwa ni tajiri dunia yote... Alikuwa ana miliki biashara ya gold Africa magharibi kaskazini na kati. Wafanyabiashara wadogo wote walikuwa wanalipa kodi kwake na kumfanya kumiliki utajiri karibu wote wa Africa.

Wakati huo Mali ndio ilikuwa mzarishaji mkubwa wa dhahabu na chumvi. Karibu nusu ya dhahabu na chumvi na dhahabu duniani ilitokea Mali.

Wakati huo karne ya 14 sehemu 3 tajiri kuliko zote ulimwenguni ya kwanza ilikuwa China, ya pili ilikuwa Iran na ya tatu ilikuwa Mali chini ya mansa Musa.

Hiyo karne ya 14 mji mkuu wa Mali yaani Timbuktu ulikuwa ni jiji kubwa mara 5 ya jiji la London kwa wakati huo.

Mansa kankan Musa alikwenda kuhiji Makka na msafara wa watu 60,000 wakisindikizwa na watumwa 12, 000 na alikuwa na ngamia zaidi ya 80 waliobeba viloba vya dhahabu zaidi ya 300 kila ngamia mmoja.

Wakati anakwenda Saud Arabia njiani alikuwa anagawa njiani dhahabu kwa watu mpaka anafika pwani ya Misri. Hii ilisababisha miji ya kibiashara kama Misri na Saudi Arabia kufisirisika kabisa kwa kuwa dhahabu ilishuka thamani sababu kila mtu alikuwa na dhahabu. Misri kwa miaka kumi ilikufa kabisa kiuchumi.

Mansa kankan Musa alianzisha maktqba mjini Timbuktu. Timbuktu jiji Kuu la mali ndio ilikuwa Paris ya dunia wakati huo, kulikuwa na raha zote.

Mansa aliakikisha kila family ndani ya Mali ina home library yenye vitabu. Kulikuwa na vitabu vya mathematics, medicine, law ushahiri na unajimu.

Encyclopedia ya kwanza duniani ilitengenezwa Mali karne ya 14.

Kipind hicho majiji makubwa Africa yalikuwa ni Timbuktu, kumasi, kilwa.

Nilikuwa nawarudisha class kidogo vijana. Next time!
 
Kwa huo utajiri aliokuwa nao Mansa kankan Musa kuna binadamu atakuja kufikia kiwango kama hicho?
 
...INNALLAHA YARUZUQU MAN-YASHAAU BIGHAILI HISAB(Hakika Mwenyezi Mungu Humruzuku Amtakae Bila Ya Hesabu)

Wakati safari yake kwanza kwenda kuhiji (hija) aligawa vipande vya dhahabu njia nzima. Msafara wake ulikuwa mkubwa sana
 
Back
Top Bottom