Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
mimi namuona kama Kilaza kuwai kutokea duniani,huo utajiri ungetumika kusaidia wananchi na nchi yake kwa maendeleo ya kuonekana mpaka sasa ingekuwq vizuri.
Huyo alikuwa kilaza kuwai kutokea duniani
Waafrika hatuna kitu kinachoitwa wealth management.
Mtu anakufa na utajiri wake.
Kwa wenzetu makampuni yanarithiwa na vizazi.
Hata mwenye kampuni akifa, hakuna kinachotetereka.
Kwa utajiri wa Mansa Musa, ningetegemea West Africa ingekuwa USA ya leo.