Mansa Musa, Richest man ever on records

Mansa Musa, Richest man ever on records

mimi namuona kama Kilaza kuwai kutokea duniani,huo utajiri ungetumika kusaidia wananchi na nchi yake kwa maendeleo ya kuonekana mpaka sasa ingekuwq vizuri.

Huyo alikuwa kilaza kuwai kutokea duniani

Waafrika hatuna kitu kinachoitwa wealth management.

Mtu anakufa na utajiri wake.

Kwa wenzetu makampuni yanarithiwa na vizazi.

Hata mwenye kampuni akifa, hakuna kinachotetereka.

Kwa utajiri wa Mansa Musa, ningetegemea West Africa ingekuwa USA ya leo.
 
mimi namuona kama Kilaza kuwai kutokea duniani,huo utajiri ungetumika kusaidia wananchi na nchi yake kwa maendeleo ya kuonekana mpaka sasa ingekuwq vizuri.

Huyo alikuwa kilaza kuwai kutokea duniani

Kama kugawa tu pesa na mali ni ukilaza basi lowasa ni kilaza kuwahi kutokea tanzania
 
Kama kugawa tu pesa na mali ni ukilaza basi lowasa ni kilaza kuwahi kutokea tanzania

Unanyodo kweli Bible inasema matajiri wawasaidie masikini na wao watakua wamebarikiwa sasa wewe unasema ni kilaza mtu anabarukiwa unaweza jikuta unateseka duniani kisha kuzimu baada ya maisha haya.
 
1.MansaMusaI.jpg


Huyu jamaa tunae hapa JF kumbe alikuwa tajiri kiasi hicho.
 
Wa Afrika wengi wana penda kupendwa na wageni.
 
Ushahidi unaonyesha kua Mansa Musa wa Mali Kingdom, Ukilinganishwa utajiri wake unakaribiwa kufikia $400 Billion USD. Hii ni zaidi ya utajiri wa Sam Walton, Warren Buffett na Bill Gates combined.
Mansa musa alikua anamiliki wingi WA dhahabu na uzalishajinwa chumvi.

Mansa Musa aliishi zamani kuanzia 1280 – 1331 akitawala Mali Empire.
Empire ikichukua sehemu kubwa ya Mali ya sasa;- Mali, Ghana, and Timbuktu ya West Africa.

Alipofariki warithi wake hawakuweza kuulinda utajiri huo. Kwasababu ya vita za mwenyewe kwa mwenyewe mpaka empire ikavunjika.

Sasa mlio cram sijui King Solomon, hapa itakua imekula kwenu.

Blackman dominates.








Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mansa utajiri wake wote lazima kuna sehemu alichimbia hizo dhahabu maana utajiri wake wanakisia tu lakini ni nyingi zaidi
Yaani siku wakiamua kufukua mahekalu yake na chini ya miti watapata mengi
 
Mbona wanasema Tiputipu aliyekuwa mfanyabiashara hapa Africa Mashariki na kati wa utumwa ndo tajiri mkubwa kuwahi kutokea?
 
Back
Top Bottom