Mansa Musa, Richest man ever on records

Mansa Musa, Richest man ever on records

kabla yake alikua nabii suleiman mwana wa daud alikua tajir kuliko watu wote mpaka leo hakuna anayemfikia.
Hapana kuna Mtu anaitwa Qaarun, huyo hana mfano mpaka hii leo.
 
History nzuri sana,naona raha kuona mkifukua historia nzuri ya Afrika,ni kweli tupu Mansa Musa alikuwa na bado mtu tajiri kuliko wote duniani......
 
Hapana kuna Mtu anaitwa Qaarun, huyo hana mfano mpaka hii leo.

Usimlinganishe Qaarun na Suleiman.Qaarun alikua ni tajiri wakati wa nabii Mussa, Suleiman yeye alipewa unabii, akawa ni mfalme na utajiri wake haujapata kutokea na wala hatatokea binaadam atakaekuja kuneemeashwa kwa neema alizoneemeshwa Suleiman, ndio hata bwana Yesu alimzungumzia nabii Suleiman kwa utajiri wake.
 
Dah mpwa,nilikuwa napenda sana enzi hizo the rise and fall of mali empere,dah jamaa alikuwa na msafafa wawatu nawatumwa sio chini ya kilo 3 duh
 
Mansa kankan Musa alikwenda kuhiji Makka na msafara wa watu 60,000 wakisindikizwa na watumwa 12, 000 na alikuwa na ngamia zaidi ya 80 waliobeba viloba vya dhahabu zaidi ya 300 kila ngamia mmoja.

Hapa ndiyo huwa nashangaa tunavyowalaumu Wazungu na Waarabu kuwa walileta utumwa Afrika. Lakini ukiangalia zaidi ya miaka 700 iliyopita tayari bwana Mansa alikuwa na watumwa wapatao 12,000.
 
Mji uliokuwa umesheheni wanazuoni wa Kiislaam na wenye chuo kikuu cha kwanza Afrika

Waisilamu wa sasa inabidi muige mfano wa waislamu wa enzi zile, wasome sana kwa kweli..

Cha ajabu sasa bidii shule hakuna. Going back in time, kizazi hiki kilikuwa na shule sana, kwa upande mchache wa M.K Mussa..
 
Quite interesting to read

AFRICANGLOBE ? When we think of the wealthiest people in the world, we most often think of the Waltons (of Wal-Mart fame), Warren Buffett, or Bill Gates. However, if you go a bit further back in history, you?ll discover that the wealth of the kings, queens, and rulers of yesteryear trumps the bank accounts of most modern day millionaires and even billionaires by a mile.

In fact, during his time, one man controlled more wealth than Bill Gates, Warren Buffett, and the most wealthy member of the Walton family, Sam Walton, combined. That man was Mansa Musa I. With an adjusted net worth of approximately $400 billion, Musa is without a doubt the richest man to have ever lived. So who was he? And why haven?t you heard more about him?

Emperor Mansa Musa I, also known as Musa of Mali (Mansa actually means ?King of Kings?), was born in Mali, sometime in the 1280s. Mansa Musa came to be king in a rather roundabout way. His grandfather, Abu Bakr, was the brother of Sundiata Keita, the man who founded the Malian Empire. Neither Abu Bakr or his son, Faga Laye, ever took the throne, and Mansa Musa was appointed deputy ruler if the king ever went on an extended trip or pilgrimage to Mecca. He was appointed deputy under Abubakari II, who had visions of exploring the far reaches of the Atlantic Ocean.

Abubakari sent 200 boats out into the sea, ordering they not return from their voyage until they had reached the far side of the Atlantic, or until they ran out of food and water, whichever came first. Quite a long time later, one boat returned, with tales of a great whirlpool that had drowned everyone. Abubakari didn?t believe the captain?s story, so he took 2,000 boats, and appointing himself head of the expedition, set off to find the truth. As the King?s deputy, Mansa Musa became ruler in his absence. Abubakari II never returned, and Mansa Musa eventually inherited the throne.

Much of Musa?s wealth came from the production of mosques, madrsasas, and universities, many of which are still standing today. The University of Sankore was built during his time, and is still in existence. The quality of life in urban centers, such as Timbuktu, was vastly superior to other parts of the world at the time, largely due to the availability of work, and Musa?s control of the gold and salt trades.

When traveling throughout his kingdom on the way to Mecca in 1324, his procession included 60,000 people. Along the way, 12,000 of his followers carried four-pound gold bars, which he gave away to the poor everywhere he went. Unfortunately, this devalued the gold, especially in Cairo, Medina, and Mecca, and Musa subsequently borrowed as much gold as he could from money lenders in Cairo, even though it was loaned at a high interest rate.


As a result, he now controlled the price of gold for all of the Mediterranean. He also controlled more than half of the world?s salt supply. Between his gold and his salt, traders from as far away as Europe made annual trips to his kingdom from Venice, Granada, and Genoa, and this gave him the power to set prices as high he wanted.A Deeper Look Into The Life Of Mansa Musa?The Richest Human Being Who Ever Lived

In 1330, Mossi invaded Timbuktu, which Musa had annexed in 1325. He quickly recaptured the city, fortifying its boundary with a fort and a standing army. As a major seat for trade in the region, control of Timbuktu meant control of the flow of money. During his reign, Mali grew to have more than 400 bustling cities. Muslim scholars from abroad flocked to the University of Sankore to study, and Musa controlled everything from his massive palace in Timbuktu, which was constructed by architects imported from Andalusia in Spain. He also created one large system of government for most of the Western Sudan. Under his rule, the region was said to exist in ?complete and general safety.?A Deeper Look Into The Life Of Mansa Musa?The Richest Human Being Who Ever Lived

Records of how Musa died vary greatly, so it?s unclear whether he died soon after returning from his pilgrimage to Mecca, or whether he continued to live for another ten years. His son, Mansa Maghan, became ruler in 1332, and his older brother, Mansa Suleyman, became ruler in 1336. Mansa Musa?s period of rule is recorded as 25 years, but whether his reign ended in 1332 because of his death, or his resignation, remains unclear. What is clear, is that for over two decades, one man almost single-handedly controlled a massively wealthy empire with multiple major trading ports.

Today, there aren?t any billionaires who could command 12,000 people to carry four-pound bricks of gold on an incredibly long walk. Or even billionaires who could affect the price of gold by simply being in charge. Mansa Musa was not only the wealthiest man to ever live, but arguably the most powerful. This may be a good part of the reason his story is skimmed over in most textbooks. That aside, Mansa Musa is a clear, and perhaps rare example, of a very wealthy individual who held at least an equal amount of power to go along with it.



By: Paula Wilson
 
Hahahaaa, huyo ndiyo Musa bana, alipokuwa akienda Hijja alichakaza uchumi wa nchi zote alizokuwa akipita kwa kugawa dhahabu kama njugu!
 
Hahahaaa, huyo ndiyo Musa bana, alipokuwa akienda Hijja alichakaza uchumi wa nchi zote alizokuwa akipita kwa kugawa dhahabu kama njugu!

Huyu jamaa sikua namjua kama ni mtu wa aina yake kiasi hiki. Kugawa gold kwa wahitaji aaaghrr safi sana he left such a memorable legacy
 
Huyu jamaa sikua namjua kama ni mtu wa aina yake kiasi hiki. Kugawa gold kwa wahitaji aaaghrr safi sana he left such a memorable legacy

Alipokuwa akirejea aligundua kuwa ameharibu uchumi wa nchi hizo kwa kushusha thamani ya dhahabu, akaamua kuwasaidia kwa kununua yeye dhahabu hiyo ili kustabilize uchumi!
 
mimi namuona kama Kilaza kuwai kutokea duniani,huo utajiri ungetumika kusaidia wananchi na nchi yake kwa maendeleo ya kuonekana mpaka sasa ingekuwq vizuri.

Huyo alikuwa kilaza kuwai kutokea duniani
 
mimi namuona kama Kilaza kuwai kutokea duniani,huo utajiri ungetumika kusaidia wananchi na nchi yake kwa maendeleo ya kuonekana mpaka sasa ingekuwq vizuri.

Huyo alikuwa kilaza kuwai kutokea duniani

Aheri yake, alikuwa kilaza, lakini tajiri.
 
Back
Top Bottom