Pre GE2025 Mantiki ya maandamano haigusi mahitaji ya wananchi yamefeli kabla ya kuanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Huu ndio ukweli mtupu.

Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono.

Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa.

Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa.

Ajira zimeanza kutolewa kwa kasi halafu wewe unaibuka na Maandamano ya kupigania ulaji wa uongozi na ruzuku.

DUNDERHEADS
 
Unaangaika kama kuku anayetaka kutaga.
 
Hujui hata maana ya maandamano mpuuzi wewe. Nelson Mandela alifungwa 27 yrs kule South kulikuwa Hkuna zahanati.
Mshamba wewe nenda ukalimie uwanja wa ndege wa chato
 
Shule zipi? Walimu tu wa shule za Serikali hawasomeshi watoto wao hizo shule, Hahaaa acha undezi.

Hizi swagwa kawadanganye maiti wenzenu huko, eti elimu bora,
 
Tangu lini Jingalao akawa n akili au kujua ugumu wa maisha wakati unakaa pale Mromboo kwa kaka yako?
 
Kama hayaungwi mkono watulize kiherehere mbona wanakimbilia kwa wajeda? Ikosiku nao watafeli kuyazuia sjui watakimbilia wapi...
Viongozi walioishiwa upeo hutumia mabavu kwenye Kila jambo lkn mwisho huwajia na wataaibika nisuala la muda tuu!!
 

Basi waache waandamane
 
Wataandamana sebuleni na midomoni kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…