bashitegufu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 201
- 117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko hili lipo Kenya na hata kwa baadhi ya wakulima hapa nchini sema linategemea sana nanuhitaji wake,mie nafuga sungura kutoka Kenya but now days wanalalamika hata huko kwao uhitaji umepungua.Wakuu habarini!?, kumekuwa na habari za mkojo wa Sungura kuwa ni dili sana mjini. Naomba kujuzwa huu mkojo wa Sungura unauzwa na kununuliwa wapi hapa Tz. Pia kwa wanaojua bei yake kwa lita 5 anijuze pia wakuu. Asanteni
Soko hili lipo Kenya na hata kwa baadhi ya wakulima hapa nchini sema linategemea sana nanuhitaji wake,mie nafuga sungura kutoka Kenya but now days wanalalamika hata huko kwao uhitaji umepungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ina mamboWakuu habarini!?, kumekuwa na habari za mkojo wa Sungura kuwa ni dili sana mjini. Naomba kujuzwa huu mkojo wa Sungura unauzwa na kununuliwa wapi hapa Tz. Pia kwa wanaojua bei yake kwa lita 5 anijuze pia wakuu. Asanteni
Hiyo Avatar yako ni kinyume na haki zinazomlinda mtoto.
asee itoe hiyo ni dhambi mbele za aliyekuumbaNi kweli mkuu, nitaifanyia kazi ujumbe niliokusudia wasilisha ukikamilika. Kile kitu kinachoitwa "mama mlinde mwanao" ila shukrani kwa kuwajali awa watoto pia.
asee itoe hiyo ni dhambi mbele za aliyekuumba
Tafuta fundi akuwekee structure ambayo unaweza kuweka gata kama zile za kukusanya maji ya mvua kwenye nyumbaDuh nina sungura wengi tu ..sasa mkojo nitaukusanya vip wakuu ....kumbe ni dilii
Sent using Jamii Forums mobile app