Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Naomba kuuliza hivi hiz perfume zinazouzwa kwa mils , unakuta unaambiwa 1 million mils 50 ni 35000, hivi ziko sawa kweli na original maana wengine wanakwambia ni laki 300,000 zina utofauti gani !? Na perfume original nitapata wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu wengine tunajipulizia vi belagio
 
Kwamimi naona haziko sawa.Kama moja nilionunua mlimani mwanzo ukijipulizia ni very hash baada ya muda unapata harufu nzuri iliyopoa ya full bubble gum.Kwa kweli nilipendezwa nayo.Tatizo ni longitivity...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fighting temptation..kwa 20k yaan

ARUSHA KWETU
 
El Passo inapatikana wapi?
Nimeikumbuka kweli
 
Kwa wote bei cheap na Expensive perfumes ni kutoka kw chris adams CA ni nouma hii brand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…