Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Ni wapi huko tupeane location
Bado hapajachangamka
20220419_212951.jpg
 
Mlimani ndo zinapatikana kwa wingi au sehem nikapata perfume original

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlimani kuna dada anaitwa kim perfume
Pia kuna mshikaji anajiita Ematscent intagram na ofisi yake iko makumbusho...huyu Ema customer care yake sio nzuri pia naona kama anachakachua ki mtindo tofauti na ubora wa mwanzo.
 
Kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo natakiwa kuchagua the best and right one.

Mimi naomba kujua ni pafyum zipi nzuri za kiume?

Msaada tafadhari
HAKUNA, kwani wanaume hawatumii perfume, wanatumia cologne.
 
Bei gani hizi shangazi?

Kwa sasa sijui bei zake, mdogo wangu ndio alikua anatumia muda sana,na sijui kama zipo tena,ila kama una mtu ulaya ukimuagiza anaweza kupata,zinanukia vizuri mno...
 
Back
Top Bottom