Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Hii bomb [emoji378] ni kwa wale wanaopenda harufu zenye makelele,uko hapa wa mtaa wa tatu anajua umepita...
Mnaopenda harufu tulivu achaneni nayo..
8 sprays ni siku nzima.
 
Niligewa zawadi pafyum ya Dark Fever. Niliipenda hata ukifua nguo harufu haitoki, yaani ukijipulizia muda unaenda yenyewe bado ipo strong.

Sasa ilivyoisha nikaanza kutafuta madukani. Nagewa famba tu, aliyenipa zawadi aliniambia kanunua elfu 15 ila mi nishanunua mpaka ya 25 na bado napata famba.

Kumuuliza aliponunua siwezi haziivi siku hizi. Insta naona wanatangaza sana pafyum inaitwa Oud kigunia natamani nunua ila naona itakua yebo yebo kwahiyo sijielewi kwa kifupi.
 
Vipi ile perfume ya Diamond Platnumz inayomfanya mtu anuke zaidi tena harufu ya makwapa ya kuoza?
 
Chukua hiyo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…