Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

CK(him), invictus, chanel, gucci, giorgio armani sports edition

...to be continued!!!
 
Mashati ya kaki
Marashi ya issey mayake
Nikipiga manzi
Simpi hata bati
 
!
!
Oga tu vizuri n Sabuni ukitoka paka Nivea yako au Vaceline inatosha. Nyoa makwapani ndevu nini fresh. Sasaaa daaah niumize kichwa nivae pafyum gani aaah masihara
 
Ngoja tu na mie nikusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
baada ya kujipaka Nivea Men kisha nikajipulizia Romance for Men,.... Siku inakwenda.... Easy Day
 
Kumbuka perfume nzuri ni ile inayomfanya mtumiaji kujisikia vizuri, kuongeza confidence na uchangamfu, na kusaidia kuexpress haiba na mood yake. Kwa hiyo natakiwa kuchagua the best and right one.

Mimi naomba kujua ni pafyum zipi nzuri za kiume?

Msaada tafadhari
Architect Eau de toilette
Giordani man notte
Signature zoom
Signature Eau de
Ascendant
Flamboyant ni perfum bomba sana na uzikuti zinauzwa ovyo ovyo ukijipulizia hizo utasimulia mtaa mzima ulikopita
0653482355/0759571114
 
Architect Eau de toilette
Giordani man notte
Signature zoom
Signature Eau de
Ascendant
Flamboyant ni perfum bomba sana na uzikuti zinauzwa ovyo ovyo ukijipulizia hizo utasimulia mtaa mzima ulikopita
0653482355/0759571114
Bei zake tafadhali.
 
Back
Top Bottom