Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Kelvin clein, ni kiboko yao

Tajiwa zoooote ukimaliza nenda dukani kaulizie "David Off."

Utarudi Hapa Kusimulia


Hilo Dude la Ukweli sana


Calvin Klein, Daviddoff, tunazo.


IMG-20170310-WA0017.jpg



IMG-20170310-WA0009.jpg


IMG-20170310-WA0010.jpg



IMG-20170310-WA0004.jpg


IMG-20170310-WA0024.jpg


IMG-20170310-WA0007.jpg

Bei zetu kwa baadhi ya products ni:

Davidoff Cool Water: 120,000/=
Calvin Klein for Men: 150,000/=
Jean Paul Gaultier: 100,000/=
Dolce and Gabbana: 120,000/=
Salvatore Ferragamo 120,000/=

Tunapatikana Kinondoni Road, Dar es Salaam, 0621 475574.
 
Au mnishauri nI perfume gani nzuri ya kupima mnayo... halafu wekeni no. Inayoparikana.whtsapp
 
Paron Poivre,hii natumia hapa Sweden,kama una Dem akisikia lazma asisuke.Ina harufu ya Jasmine.

Imenipatia madem zaidi ya watatu wa kinyarwanda.
 
Achaneni na mapafyumu na Maspray, hayo madudu yanaongeza oestroegen hormone kwa mwanaume na kureduce content ya Testosterone hormone,​
 
David Off hamnaga za Kupima wakuu
Mkuu ukitaka za kupima nenda pale mlimani city..duka liko karibu na super market ya kwanza ukiingilia mlango wa upande wa Mwenge
 
Back
Top Bottom