Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Royal men asew.ipo vzr au Galaxr S3 lakn ni wewe tuu maamuzi yako.

Ninachokipenda mimi wewe huwezi kukipenda.viceversa is true
 
Dah...ajabu sana...harufu ni sanaa....kama rangi au ladha tu...mtu huipenda bila ya kuwa na sababu.... Huyu atapenda hii na mwingine atapenda ile....ukawauliza sababu wanakuwa hawana... hakuna pafyum mbaya.....cha msingi itengenezwe katika ubora...tuelimike bana [emoji87]
 
Amazing n its affordable [emoji7]
images%20(1).jpeg
 
Back
Top Bottom