Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume gani wewe, umeshindwa mwambia huko unakuja kutusumbua huku JF?Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu
Weee naye mbona una kisolokonywi sana??Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Issue siyo kukaa na muhudumu issue ni general hygiene Kwa watoa huduma kuzingatia basi linabeba watu wazima na wagonjwa, Ulishaona wapi hotel kubwa muhudumu kijipuliza Manukato au kafuga kucha kubwaKwani unakaa na huyo mhudumu mwaka mzima? Siku nyingine tumia usafiri binafsi.