KERO Manukato ya Mhudumu wa BM Coach yanaleta usumbufu kwa abiria

KERO Manukato ya Mhudumu wa BM Coach yanaleta usumbufu kwa abiria

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.

Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Why usimwambie directly?
 
Back
Top Bottom