KERO Manukato ya Mhudumu wa BM Coach yanaleta usumbufu kwa abiria

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.

Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Mkuu fanya hivi kutatua humohumo pandisha majini yani vurugika haswa pasikalike huku ukimfata huyo muhudumu kwa kelele za kijini na vitisho haswa yani jini jini kweli jina nginjanginja!.. halafu wakikuhoji waambie hujapendezwa na harufu ni kali mno mpk jini kutoka oman limeamua kupanda halafu kwa swaga unapiga maneno mawili ya kiharabu al habib mujarab alkasusu bin shabab Al-Qaida!..

hiyo show wanaweza kukusamehe na nauli..🤣
 
Sasa wewe unajipulizia KURUTHUMU za bukubuku utulie...hadi manukato mnapangiwa watu aseeee Asee....
 
Ukutee sasaa imechanganyikana na kijasho Cha Kwapa au Cha k aiseeeee n balaaaaaa humu ndani ya gariii..

Pole ndugu abiri
 
Sina imani
Mkuu fanya hivi kutatua humohumo pandisha majini yani vurugika haswa pasikalike huku ukimfata huyo muhudumu kwa kelele za kijini na vitisho haswa yani jini jini kweli jina nginjanginja!.. halafu wakikuhoji waambie hujapendezwa na harufu ni kali mno mpk jini kutoka oman limeamua kupanda halafu kwa swaga unapiga maneno mawili ya kiharabu al habib mujarab alkasusu bin shabab Al-Qaida!..

hiyo show wanaweza kukusamehe na nauli.

Sina Imani potofu hizo. Naamini katika Sayansi tu
 
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.

Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Amejipulizia kwenue bus au nyumbani kwake
 
Bora anukie vizuri kuliko kunuka makwapa na mdomo kama ilivyo kwa wahudumu wengine.
 
Mimi kuna konda wa shabiby dom to dar asee ili nilazimu nibadili siti kutoka siti ya kwanza hadi ya pili kutoka mwisho sio kwa ile harufu kali ya manukato
 
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.

Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya harufu na vifua. Waelemisheni wahudumu wenu
Yes sio vyema kupuliza manukato makali kwenye shughuli inayokutanisha raia kwa ukaribu kama hiyo

Kama anapenda manukato ni muhimu afanye hivyo masaa kadhaa kabla ya safari

Mfano kama gari ni saa 11 jioni basi saa 9 unajipulizia

By the time inafika inakuwa ishapoa

Na sio kila baada ya sekunde unajiboost, hapo utakera wengi na kufurahisha wachache
 
Amejipulizia kwenue bus au nyumbani kwake
Aliingia chooni na bag dogo. Kakaa dakika 20, kutoka ni harufu kali. Kwanini pasiwepo na chuo Cha wahudumu wa mabasi kama ilivyo wa ndege.
 
Back
Top Bottom