Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
We jamaa huenda hukuangalia mpira jana..kama uliangalia ili tukio lilikupita...kuna beki mmoja alirudisha mpira nyuma akaupiga vibaya nafikiri sababu uwanja ulikuwa na mchanga mipira ilikuwa haitembei kwa bahati mbaya mpira ukaenda miguuni kwa foward...forward akabaki yeye na kipa..ikabidi kipa atoke ili kubana goli forward akapiga shuti mpira ukakutana na kipa ukamgonga ukarudi hapo ndo kipa alikiwa anarudi sababu alikuwa ametoka kuokoa na asingetoka hilo lilikuwa goli moja kwa moja..inaonesha unachuki zako kwa manullaTuweke maaba pembeni,tujibu kwa hoja za kimichezo,kipa jana alikua chini ya kiwangoView attachment 939165
Mi nadhan kosa kubwa ni la yule beki mjinga aliyetoa kona wakati alikua na Uwezo Wa kuondoa MpiraKwa hapo Manula alikuwa anarudi baada ya kutuokoa...... kosa ni pale alivopangua kishamba ule mpira uliozaa goli....
Ule mpira haujapanguliwa kishamba kama unavyosema ule mpira ulipigwa vizuri na ulishamzidi kipa sema kuruka ndo bahati akakutana nao....so alivyoupangua bahati mbaya ukawa bado upo uwanjani mtu akaruka kichwa ukapita miguuni mwa mabeki wawili...kwa jinsi ule mpira ulivyopigwa si rahisi kipa ku u control kama watu wanavyofikiria...jamaa anaweza kuwa kweli alikuwa na madhaifu yake but lile goli c la udhaifuKwa hapo Manula alikuwa anarudi baada ya kutuokoa...... kosa ni pale alivopangua kishamba ule mpira uliozaa goli....
Hapa ndio kosa lilipoanziaMi nadhan kosa kubwa ni la yule beki mjinga aliyetoa kona wakati alikua na Uwezo Wa kuondoa Mpira
Mpira ulimzidi hakuwa amejiandaaSasa hapo wa kuzomewa ni Manula au huyo Foward aliyekosa mpira ukampita tobo na kukosa goli la wazi kabisa.
ila mtoa post atakuwa hakuangalia gemWe jamaa huenda hukuangalia mpira jana..kama uliangalia ili tukio lilikupita...kuna beki mmoja alirudisha mpira nyuma akaupiga vibaya nafikiri sababu uwanja ulikuwa na mchanga mipira ilikuwa haitembei kwa bahati mbaya mpira ukaenda miguuni kwa foward...forward akabaki yeye na kipa..ikabidi kipa atoke ili kubana goli forward akapiga shuti mpira ukakutana na kipa ukamgonga ukarudi hapo ndo kipa alikiwa anarudi sababu alikuwa ametoka kuokoa na asingetoka hilo lilikuwa goli moja kwa moja..inaonesha unachuki zako kwa manulla