manura toka amekuwa na urafiki na michele simuelewi kabisa uyu jamaa ake na juma lokoleUkiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Ndo ushangae sasa performance yake zidi ya senegal ukiambiwa uyu ndo yule aliyedaka juzi watu wote watakataa.Sijui huwa hana shida gani. Lile goli la kwanza alishindwa nini kupiga ngumi ule mpira.
Haya goli la mwisho nalo la kibwege vile vile.
Goli la pili silaumu.
Hivi huwa hawapitii video za match zao?
Ile tick tack unasema ya kizembe?Kama goli la kwanza alifungwa kizembe sana
UVCCM BHANAgoli la tatu hakuna kipa duniani angeweza kulizui,kwani baada ya kuukosa mpira ukawa kama unaenda nje,ukagonga goli post na kuingia upande wa pili,goli za pili la kenya pia ilikua tikitaka moja matata sana wakati kipa alishapotea maboya,kwa uzoefu wangu amefungwa kihalali kabisa
Hukuangalia mpira vizuri? Aliupangua mpira kizembe sanaIle tick tack unasema ya kizembe?
Ule mchomo ulipita kama msumari wa moto
Pole sana kumbe mpira kuna watu wanaona kwa miwani ya lenzi na wengine kwa macho yao kabisa.goli la tatu hakuna kipa duniani angeweza kulizui,kwani baada ya kuukosa mpira ukawa kama unaenda nje,ukagonga goli post na kuingia upande wa pili,goli za pili la kenya pia ilikua tikitaka moja matata sana wakati kipa alishapotea maboya,kwa uzoefu wangu amefungwa kihalali kabisa
Sijui huwa hana shida gani. Lile goli la kwanza alishindwa nini kupiga ngumi ule mpira.
Haya goli la mwisho nalo la kibwege vile vile.
Goli la pili silaumu.
Hivi huwa hawapitii video za match zao?