Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.