johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania One alikuwa Mohamed Mwameja full stop!Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Genesis au Exodus hahahaShuleni ordinary level kipindi cha bible knowledge.
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
himidi nikama BASHITE NA POMBENje ya mada kidogo! Kocha anampendea nini Himidi Mao?
Subiri warudi Makonda ampe million 20 kwa kazi nzuri aliyofanya AFCON.Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.
Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
angekuwa KINDOKI angefuta ileIle tick tack unasema ya kizembe?
Ule mchomo ulipita kama msumari wa moto
Watanzania bana tunatofautiana sana uelewa....ule mpira ulitaka auokoaje...mpira alishauokoa vizuri bahati mbaya kuna mchezaji wetu akaugonga vibaya akawa amempelekea adui ndo tukafungwa.. sasa manula ndo aliugonga mpira kuupeleka kwa adui???Goal building ndo tunazungumzia angeweza kuokoa ile kosakosa kabla mpira aujamfikia mfungaji.
Kwa hiyo mabeki hawajui kujipanga mpaka wapangwe na kipa...yaani kosa la mabeki kujipanga vibaya analaumiwa kipa π π π π π ...only in TZHata goli la pili kafungwa kindezi tu, hakuwapanga mabeki wake...
Samatta ndiye mchezaji pekee aliyeruka kujaribu kupiga kichwa, lakini mpira ulikuwa juu sana kwake...
Pamoja na kwamba hakupanga mabeki, bado kulikuwa na nafasi kwake kuutokea mpira maana uliangukia eneo huru (makipa wengi wazamani mfano Mwameja, Riffat Said n.k walikuwa wanaokoa timu zao kwa kutokea krosi au kona)
Angekuwa kindoki angefuta zote zileπππSubiri warudi Makonda ampe million 20 kwa kazi nzuri aliyofanya AFCON.
Alipigwa tano tano kazawadiwa million 10
Sahivi Tanzania one ni kindokiiiiiiTanzania One alikuwa Mohamed Mwameja full stop!
Watanzania bana tunatofautiana sana uelewa....ule mpira ulitaka auokoaje...mpira alishauokoa vizuri bahati mbaya kuna mchezaji wetu akaugonga vibaya akawa amempelekea adui ndo tukafungwa.. sasa manula ndo aliugonga mpira kuupeleka kwa adui???
Bila shaka Kiongozi. Lakini usisahau Kindoki ni Mcongo πππAngekuwa kindoki angefuta zote zileπππ
Washkaji.Nje ya mada kidogo! Kocha anampendea nini Himidi Mao?
Huyo ni kipa mbovu sana, juzi aliokolea ndani tukaliwa bao.Ni kweli anastahili sana aheshimiwe kwa kazi kubwa aliyoifanya. Ila kwamba ni Tanzania one ..mh!!Maana nahisi ukijumuisha michezo ya nje na ndani huenda ni kati ya wanaweza kuwa wanaongoza kwa kufungwa.
True.Manula ameangusha timu. .kawapa mashemeji magoli mawili. .Lesotho alitoa Boko kama la juzi
Kwa hiyo mabeki hawajui kujipanga mpaka wapangwe na kipa...yaani kosa la mabeki kujipanga vibaya analaumiwa kipa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...only in TZ