Manula naye kumbe boya kama maboya wengine

Manula naye kumbe boya kama maboya wengine

Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Tanzania One alikuwa Mohamed Mwameja full stop!
 
Manula ameangusha timu. .kawapa mashemeji magoli mawili. .Lesotho alitoa Boko kama la juzi
 
Marufuku kuwapa watoto wenu jina la Manu laaaa.

Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
 
Manula mimi ninajupongeza sana, wewe ni mzalendo. Hukutaka CCM Stars ijipatie sifa za kuokota dodo chini ya mpapai.
 
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo.

Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa nchi leo upo moto kesho baridi? Yani uweleweki wa kike au wakiume wa dar au wamkoani? Shwaini kabisa yani zile goli ata binti yangu wa kike darasa la tatu angeokoa ata mbili kabisa.
Subiri warudi Makonda ampe million 20 kwa kazi nzuri aliyofanya AFCON.
Alipigwa tano tano kazawadiwa million 10
 
Goal building ndo tunazungumzia angeweza kuokoa ile kosakosa kabla mpira aujamfikia mfungaji.
Watanzania bana tunatofautiana sana uelewa....ule mpira ulitaka auokoaje...mpira alishauokoa vizuri bahati mbaya kuna mchezaji wetu akaugonga vibaya akawa amempelekea adui ndo tukafungwa.. sasa manula ndo aliugonga mpira kuupeleka kwa adui???
 
Hata goli la pili kafungwa kindezi tu, hakuwapanga mabeki wake...

Samatta ndiye mchezaji pekee aliyeruka kujaribu kupiga kichwa, lakini mpira ulikuwa juu sana kwake...

Pamoja na kwamba hakupanga mabeki, bado kulikuwa na nafasi kwake kuutokea mpira maana uliangukia eneo huru (makipa wengi wazamani mfano Mwameja, Riffat Said n.k walikuwa wanaokoa timu zao kwa kutokea krosi au kona)
Kwa hiyo mabeki hawajui kujipanga mpaka wapangwe na kipa...yaani kosa la mabeki kujipanga vibaya analaumiwa kipa 😂 😂 😂 😂 😂 ...only in TZ
 
Watanzania bana tunatofautiana sana uelewa....ule mpira ulitaka auokoaje...mpira alishauokoa vizuri bahati mbaya kuna mchezaji wetu akaugonga vibaya akawa amempelekea adui ndo tukafungwa.. sasa manula ndo aliugonga mpira kuupeleka kwa adui???

Naunga mkono kaka tunatatizo safu ya ulinzi ya timu yetu wakati unamuangalia mmanula angalia na safu ya ulinzi tungekuwa na safu ya ulinzi nzuri ule mpira wangeuondoa baada ya manula kuupiga ngumi

Magoli mengine ni poor marking ya mabeki

Tanzania one alikuwa mwameja pekee na alionekana mzuri kwakuwa alikuwa na mabeki pawasa pamoja na masatu maana mwameja akikosea masatu anakuwepo kufuta kosa wakati pawasa na kina chumila washawadhibiti washambuliaji

Angalia mechi na senegal walivyokuwa wananyanganywa mipira ndo utajua nisemacho
 
Ni kweli anastahili sana aheshimiwe kwa kazi kubwa aliyoifanya. Ila kwamba ni Tanzania one ..mh!!Maana nahisi ukijumuisha michezo ya nje na ndani huenda ni kati ya wanaweza kuwa wanaongoza kwa kufungwa.
Huyo ni kipa mbovu sana, juzi aliokolea ndani tukaliwa bao.
 
Inaonekana wewe si mtu wa mpira wa miguu...

La hasha huwa ni mtazamaji tu, si mfuatiliaji kindakindaki...

Yaani inaonesha hufahamu kabisa majukumu ya kipa inapotokea mpira wa adhabu au kona unapihwa kuelekea langoni mwake...
Kwa hiyo mabeki hawajui kujipanga mpaka wapangwe na kipa...yaani kosa la mabeki kujipanga vibaya analaumiwa kipa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...only in TZ
 
Back
Top Bottom